Naombeni msaada

Hii software nikwa ajili ya mashule nainasaidia kurahishisha uendeshaji wa shule kitaluuma na kimahesabu napia inasaidia kuwapa wazazi taarifa mbalimbali kuhusu mwanae shuleni
Hapa hii software inatoa Siri za shule, sio kila taarifa mzazi anatakiwa kupata. Pia sio kila mapato niyakujulikana na kufatiliwa, maana yake hiyo software inasaidia kuzibiti shule na uendeshaji wake, sasa walimu Wana kazi Gani, hapo ndipo ilipofeli hiyo software. Acha hizi wewe tafuta kazi Nyingine
 
Hii software nikwa ajili ya mashule nainasaidia kurahishisha uendeshaji wa shule kitaluuma na kimahesabu napia inasaidia kuwapa wazazi taarifa mbalimbali kuhusu mwanae shuleni
Watu wamepigwa sana kwenye ishu ya software za shule na biashara. Aidha big names kama shulesoft na shulecom wameteka soko na wana offer bidhaa nzuri kweli.

Hitaji kubwa la shule nyingi sio system tu ya mahesabu, lakini namna ya kupata wateja zaidi na pia ku communicate.

Mshauri bosi wako abadilishe model.

1. Wape watu free trial.
2. Fikiria jinsi ya kudifferentiate. Bila ubunifu hutauza software, hasa kwa wabongp wanaopenda vitu manual

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Wazazo hawapewi siri za shule wanapewa report za mtoto au watoto, kama anadaiwa , ama kama kuna mitihani anaandaliwa mapema kutoa hela ya stationaries, kuhusu waalimu walimu lazima wawepo maana niwao wataweka taarifa za testi za wiki , mitihani ya wiki na ya awamu , mf. Mwezi wa sita , wa tisa na wa kumi na mbili, halafu uzuri wake haichukui muda ni dakika tano kaweka za darsa lake lote , jingine lazima wawepo waalimu maana watatoa recodi za watoto wote na lazima wawepo waalimu maana lazima wawafundishe watoto nadhani unanielewa usiponielewa niambie nikueleweshe
 
Basi kama ni hivyo, hujafanya marketing vizuri.
 
Yao ni inatumia whtsupp ambao sio kila mzazi anayo simu ya touch , yetu ni inatumia SMS so nirahisi kutumia kwa kila mzazi yetu ni tofauti na ni nzuri kuitumia na ni kila kitu automatic so ni kitu kizuri sana
 
Nisingepata wawili ingekuwa empty nanilipata shule 13 na kumi tuliwaonyesha hiyo software ila hawana majibu until now
Basi endelea na shule zingine kwanza biashara sio kulazimisha wateja km mteja anaonyesha kutokua na mwamko na bidhaa endelea kuisogeza kwa wateja wengine, si umewaachia Mawasiliano yenu?
 

Leo umeandika uzi kwa utulivu sana, sijui vile unahusu mambo ya "mpunga"!!...

Jitahidi kutarget wateja/shule au hata taasisi ya juu...

Kwa mwanzo mnaweza mkauza system yenu kwa kutazama faida ndogo...

Fanya UTAFITI wa wateja wenye uhitaji wa namna hiyo ya mfumo, utafiti utasaidia kutengenezwa au kufanyia maboresho kulingana na pain points za walengwa wenu...
 
Ingia youtube jifunze marketing na sells technique ziko kibao... Sii unaenda uza software umevaa kijora (joking)
 
Ingia youtube jifunze marketing na sells technique ziko kibao... Sii unaenda uza software umevaa kijora (joking)
Hapama sivaagi kijora na vaa suti inategemea rangi tu napendelea blue and black nawakaga jomba sana tu
 
Ningekua na uhitaji nayo ningepurchase maana ni bei ndogo sana
 
Labuda una kimavi[emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…