Hapa hii software inatoa Siri za shule, sio kila taarifa mzazi anatakiwa kupata. Pia sio kila mapato niyakujulikana na kufatiliwa, maana yake hiyo software inasaidia kuzibiti shule na uendeshaji wake, sasa walimu Wana kazi Gani, hapo ndipo ilipofeli hiyo software. Acha hizi wewe tafuta kazi NyingineHii software nikwa ajili ya mashule nainasaidia kurahishisha uendeshaji wa shule kitaluuma na kimahesabu napia inasaidia kuwapa wazazi taarifa mbalimbali kuhusu mwanae shuleni