Naombeni msaada

Nisingepata wawili ingekuwa empty nanilipata shule 13 na kumi tuliwaonyesha hiyo software ila hawana majibu until now
Pia angalieni upande wa Bei Kwa mwezi. Inaweza ikawa sababu. Maana wateja wazuri ni shule za Private. Shule za Private zinategemea soko la uelewa wa wazazi na kipato Chao, hivyo zilizo nyingi baada ya falsafa ya serikali kutoa elimu Bure nyingi hazina wanafunzi wakutosha. Sasa punguzeni Bei mtapata wengi.
 
Dada tafuta kazi nyingine ukitegemea kuuza software ndo uishi utakufa njaaa nimewahi fanya tulikua tunatengeneza wenyewe afu tunauza yaan unapewa 250k tena hupewi kwa wakati moja! Nikaona mtaani nikiishi kwa kuangalia taaluma ulosomea utakufa na njaaa
 
Sawa kwa hapo naomba unipe bei yako toka silver ,gold,premium iwe bei gani
 
Nimeona utakufa na njas na hapa naumwa balaa halafu hawajui hata kuwa naumwaje nipo home nashangaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…