RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Hivi unajua flower una jini ndani yako linakuvurugaChakushangaza baada yakukubali hii kazi hata hedhi ikakata nimeenda kila mahali hospitali ,sijui hapa pale ila naambiwa tu umelogwa yaani hadi sasa naumwa tu hedhi imehama hata daktari haoni cha kunisadia