- Thread starter
- #41
Sasa na wewe usiku wa manane hulali? ona sasa sasa usajitia mipresha bure. nini kilicho kutuma kupiga simu usiku wote huo kama si uchokozi tu, kama ulim mis kwani kusingekucha? au kama ulikuwa unampenda sana si ungeenda kulala kwake wewe.
Alafu na wewe mwanaume unajua mchumba ako anawivu na hii itakuwa si mara yake ya kwanza kukupigia simu usiku, sasa wewe unaiba alafu una acha simu on, next time ukiwa unaiba ukumbuke kuizima, akikuuliza mwambie iliisha moto ulikuwa unaicharge.
nili mmiss jamani na sikutegemea kama ningeyakuta hayo kwa kawaidi nikishituka naenda ewani