naombeni msaada

naombeni msaada

Sasa na wewe usiku wa manane hulali? ona sasa sasa usajitia mipresha bure. nini kilicho kutuma kupiga simu usiku wote huo kama si uchokozi tu, kama ulim mis kwani kusingekucha? au kama ulikuwa unampenda sana si ungeenda kulala kwake wewe.

Alafu na wewe mwanaume unajua mchumba ako anawivu na hii itakuwa si mara yake ya kwanza kukupigia simu usiku, sasa wewe unaiba alafu una acha simu on, next time ukiwa unaiba ukumbuke kuizima, akikuuliza mwambie iliisha moto ulikuwa unaicharge.

nili mmiss jamani na sikutegemea kama ningeyakuta hayo kwa kawaidi nikishituka naenda ewani
 
jamani mm nina mchumba angu ambaye tuko karibu hatua za mwisho sasa alicho nifanya jana nashindwa huelewa niko njia panda....
ilikuwa ivi nilipiga sm usiku wa manane yaani saa 8 usiku bahati nzuri kapokea ila kila analo liongea tofauti naninavyo muuliza machale yakenicheza nikamwambia niambie unanipenda au unikiss sikaaniambia kiluga bahati nzuri wote niluga moja nikamwambia niambie kiswahili sikagoma anazuga sasa nikajakusikia sauti ya mdada anaogea" etichumbani umekimbia nini kunakunguni, alafu unaongea nanai. nipe hiyo sm" huyu mkaka alishindwa kukata sim ilipita kama dakika 2 akakatasimu nilipiga ile sm kama call30 hakupokea badae ananipigia cm anacho nieleza simuelewi. hapanimechoka na mahari kashatoa mume simtaki tena kumuona japo ananiambia tuonane je kunajipya hapo eti ;
nisaidieni kwamawazo jamani.
kusoma hujui hata picha?
 
Pole sana ndugu yangu.
ila kwa ushauri wangu mi naona huyo mwanaume hayuko serious. Najaribu kuimagine kama wewe ni mchumba na ameshatoa mahali, ningefikiri ya kuwa if he is cheating then the other woman atakuwa anajua kuhusu wewe. lakini kwa maelezo yako inaonyesha hata huyo mwanamke mwingine hajui kama unaexist (ina maana jamaa hajafanya maamuzi)

Kuna watu naona wanasema go ahead ufunge ndoa maana wanaume wote ndivyo walivyo! well that is not true, I believe wapo wanaume waaminifuna wasio wadhalilishaji. Kwa mwanaume mwenye msimamo na mapenzi hata kama anacheat then he will make sure everyone knows wewe ndio mwenyewe.

siku zote nasemaga, sis wanawake huwa tunakubali kuolewa na wanaume wenye mapungufu kama haya hali tukijua kabisa tabia zao mbaya way before we get married, alafu tukiingia kwenye ndoa tunaanza kulialia. well ukiamua kuolewa na mtu wa aina hii inabidi uwe mvumilivu na usitegemee kuwa he will change.

ni hayo tu. pole sana ndugu yangu.

nashukuru nitayatenea kazi.
 
wengi humu watakupa ushauri...ushauri huo unaweza kukujenga au kukubomoa...mimi nakushauri fanya hivi:

1...onana na huyo mwenza wako kisha msikilize anasema nini?

2..akikiri kosa kama ni kweli alikuwa na binti mle ndani basi tafakari safari nzima ya kule mlikotoka..je kumekuwa na matukio ya namna hiyo?...kingine muulize kwa nini alifanya hivyo

3..ikiwa amekiri kosa kwa dhati kabisa toka moyoni..basi hakikisha umnaenda kupima afya(sio kesho subiri miezi 3 ipite)hata kama alitumia kinga...akapime afya..na mda wote huo wa miz 3 msikutane kimwili na wakati huo huo uwe unamchunguza tabia...

4...kama ndo yenu ilikuwa karibu kufungwa isogeze mbele

5...mahusiano/ndoa/uchumba huwa hauvunjwi na mtu mwingine isipokuwa wahusika wenyewe...

6...je wewe kwako unamuona anafaa kumkabidhi maisha yako yaliyobaki hapa duniani(fikiri kwa upana) ...kuna tabia zinge huwa zinarekebishika mkiwa ndani ya ndoa na hili huwa linajengwa juu ya msingi wa historia(mlikotoka)

7...ikiwa atakana kosa na kusema hakuwa na mtu mle ndani.....mueleze kile ulichokisikia wewe then mkazie sana macho..naamini akikana hataweza kukuangalia machoni...kisha tafakari

8..badilishaneni simu zenu kwa siku 3..chukua yake nae achukue yako...kama kuna ulazima wa kufanya hivyo fanya

9....ndo si lele mama....mapungufu yapo lakini na kila mmoja anayo ila suluhisho la dhati ni muhimu...kurekebishana na kuonyana ni muhimu sana.....

10.......wewe hujawahi kumdanganaya?....kwa mawazo, kwa maneno , kwa vitendo na hata kwa kutotimiza wajibu??

''mja hunena muungwana ni vitendo''.....
 
komaa naye huyo ndo chaguo lako. wengine wanajipendekeza tu. yanarekebishika.😛oa
 
loh huna reserve figure?

Hahahaha...wewe Chiboko! Haya Mourinyo wao, twanga shule na huyo kwa PM, demand iongezeke jf tuwe na option ya radha tofauti tofauti...hahaha!
 
nili mmiss jamani na sikutegemea kama ningeyakuta hayo kwa kawaidi nikishituka naenda ewani

Ndio ukome, darasa hilo itakusaidia baadae. Haya njoo kwangu tumalizie hapo mlipofikia ila mambo ya simu za usiku mie hapana, huwa nikilala hata simu iite vipi sisikiii.......

Karibu MTENDWA!
 
wengi humu watakupa ushauri...ushauri huo unaweza kukujenga au kukubomoa...mimi nakushauri fanya hivi:

1...onana na huyo mwenza wako kisha msikilize anasema nini?

2..akikiri kosa kama ni kweli alikuwa na binti mle ndani basi tafakari safari nzima ya kule mlikotoka..je kumekuwa na matukio ya namna hiyo?...kingine muulize kwa nini alifanya hivyo

3..ikiwa amekiri kosa kwa dhati kabisa toka moyoni..basi hakikisha umnaenda kupima afya(sio kesho subiri miezi 3 ipite)hata kama alitumia kinga...akapime afya..na mda wote huo wa miz 3 msikutane kimwili na wakati huo huo uwe unamchunguza tabia...

4...kama ndo yenu ilikuwa karibu kufungwa isogeze mbele

5...mahusiano/ndoa/uchumba huwa hauvunjwi na mtu mwingine isipokuwa wahusika wenyewe...

6...je wewe kwako unamuona anafaa kumkabidhi maisha yako yaliyobaki hapa duniani(fikiri kwa upana) ...kuna tabia zinge huwa zinarekebishika mkiwa ndani ya ndoa na hili huwa linajengwa juu ya msingi wa historia(mlikotoka)

7...ikiwa atakana kosa na kusema hakuwa na mtu mle ndani.....mueleze kile ulichokisikia wewe then mkazie sana macho..naamini akikana hataweza kukuangalia machoni...kisha tafakari

8..badilishaneni simu zenu kwa siku 3..chukua yake nae achukue yako...kama kuna ulazima wa kufanya hivyo fanya

9....ndo si lele mama....mapungufu yapo lakini na kila mmoja anayo ila suluhisho la dhati ni muhimu...kurekebishana na kuonyana ni muhimu sana.....

10.......wewe hujawahi kumdanganaya?....kwa mawazo, kwa maneno , kwa vitendo na hata kwa kutotimiza wajibu??

''mja hunena muungwana ni vitendo''.....

Duuuuu...hayo masharti?? Utafikiri mchakato wa kutunga katiba?? Ntashangaa kama uko kwenye ndoa kutokana na huo ushauri wako unless huyo mwenza wako ni style za Bushoke ktk ''Mume *****''
 
Kumbuka kuolewa ni bahati,acha hiyo bahati bila sababu ya msingi utakiona cha moto, mbona kunawanaume wanaishi na wanawake zaidi ya wanne, wewe unabahati mko wawili tu. Hakuna mwanaume mwenye demu mmoja wakati wanawake mko wengi ,lazima tuwatendee haki zenu kila mmoja
 
Msimulieee....hajalijua jiji bado huyo!
 
Back
Top Bottom