naombeni msaada


nili mmiss jamani na sikutegemea kama ningeyakuta hayo kwa kawaidi nikishituka naenda ewani
 
kusoma hujui hata picha?
 

nashukuru nitayatenea kazi.
 
wengi humu watakupa ushauri...ushauri huo unaweza kukujenga au kukubomoa...mimi nakushauri fanya hivi:

1...onana na huyo mwenza wako kisha msikilize anasema nini?

2..akikiri kosa kama ni kweli alikuwa na binti mle ndani basi tafakari safari nzima ya kule mlikotoka..je kumekuwa na matukio ya namna hiyo?...kingine muulize kwa nini alifanya hivyo

3..ikiwa amekiri kosa kwa dhati kabisa toka moyoni..basi hakikisha umnaenda kupima afya(sio kesho subiri miezi 3 ipite)hata kama alitumia kinga...akapime afya..na mda wote huo wa miz 3 msikutane kimwili na wakati huo huo uwe unamchunguza tabia...

4...kama ndo yenu ilikuwa karibu kufungwa isogeze mbele

5...mahusiano/ndoa/uchumba huwa hauvunjwi na mtu mwingine isipokuwa wahusika wenyewe...

6...je wewe kwako unamuona anafaa kumkabidhi maisha yako yaliyobaki hapa duniani(fikiri kwa upana) ...kuna tabia zinge huwa zinarekebishika mkiwa ndani ya ndoa na hili huwa linajengwa juu ya msingi wa historia(mlikotoka)

7...ikiwa atakana kosa na kusema hakuwa na mtu mle ndani.....mueleze kile ulichokisikia wewe then mkazie sana macho..naamini akikana hataweza kukuangalia machoni...kisha tafakari


8..badilishaneni simu zenu kwa siku 3..chukua yake nae achukue yako...kama kuna ulazima wa kufanya hivyo fanya


9....ndo si lele mama....mapungufu yapo lakini na kila mmoja anayo ila suluhisho la dhati ni muhimu...kurekebishana na kuonyana ni muhimu sana.....

10.......wewe hujawahi kumdanganaya?....kwa mawazo, kwa maneno , kwa vitendo na hata kwa kutotimiza wajibu??


''mja hunena muungwana ni vitendo''.....
 
komaa naye huyo ndo chaguo lako. wengine wanajipendekeza tu. yanarekebishika.😛oa
 
loh huna reserve figure?

Hahahaha...wewe Chiboko! Haya Mourinyo wao, twanga shule na huyo kwa PM, demand iongezeke jf tuwe na option ya radha tofauti tofauti...hahaha!
 
nili mmiss jamani na sikutegemea kama ningeyakuta hayo kwa kawaidi nikishituka naenda ewani

Ndio ukome, darasa hilo itakusaidia baadae. Haya njoo kwangu tumalizie hapo mlipofikia ila mambo ya simu za usiku mie hapana, huwa nikilala hata simu iite vipi sisikiii.......

Karibu MTENDWA!
 

Duuuuu...hayo masharti?? Utafikiri mchakato wa kutunga katiba?? Ntashangaa kama uko kwenye ndoa kutokana na huo ushauri wako unless huyo mwenza wako ni style za Bushoke ktk ''Mume *****''
 
Kumbuka kuolewa ni bahati,acha hiyo bahati bila sababu ya msingi utakiona cha moto, mbona kunawanaume wanaishi na wanawake zaidi ya wanne, wewe unabahati mko wawili tu. Hakuna mwanaume mwenye demu mmoja wakati wanawake mko wengi ,lazima tuwatendee haki zenu kila mmoja
 

Msimulieee....hajalijua jiji bado huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…