Naombeni Msaada


Inawezekana alikuwa hajui hii mambo ya kusave majina ndivyo sivyo..Kama jamaa ana vitendo vya kishoga na kaviona hapo ingekuwa suala lingine. Jamaa atakuwa tu na mchezo wa kusave majina tofauti ili wife to be aone ni marafiki zake kumbe ndo hivyo!..
Ila kama ni unahisi ni shoga chukuza vizuri matendo yake, usiwe unaishi na samaki anayekaangwa pande zote japo anashughulika na kushughulikiwa..
 
Hayo ndo matatizo ya kupekua simu za watu, unakutana na msg unashindwa kuzielewa kwa kuwa sio zako. kumbukeni hizo ni simu za mkononi na sio za familia.

Sahau ulichokiona, kafunge ndoa, vinginevyo utakuja juta, waoaji ni wachache sana hapa mtaani.
 

Kwa maelezo haya hili jamaa ni bwabwa, sihitaji ushahidi zaidi. Sasa amua kusuka au kunyoa
 
Sipo umeongea pointi makini, bila shaka ni asilimia 99.9 .dada fanya uchunguzi na zaidi kama unaweza pata ile namba ya simu iliyokubwa na msg then fatilia kwa watoahuduma wa mtandao huo wa mawasiliano na hapo utaweza kujua mmiliki halizi wa namba hiyo ya simu kama ni mr au mrs maana wao wana rekodi zote za mawasiliano.
.................
The art of being wise is knowing what to overlook
 
mimi namfahamu jamaa mmoja dokta wa muhimbili, nilikuwa nasoma na mdogo wake sekondari pale Dar. Kila tukimtembelea kwake pale Muhimbili tulikuwa tunamkuta kijana mmoja anaishi naye chumbani, cha ajabu majirani walikuwa wanasema huyo kijana ni ndugu yake, lakini mdogo wake alikuwa anasema hata hamjui huyo mtu. Alikuwa anaishi kwenye lile jengo la madokta wapya (au sijui wageni) ambako kila mmoja ana chumba kimoja tu. Siku moja nikaenda kumtembelea nikiwa peke yangu, nilikuwa na shida yangu, nikagonga chumbani kwake sikupata jibu. Nikaingia kwenye sehemu hapohapo jirani na chumba chake walikuwa wanauza vinywaji, nikanunua soda nikawa namsubiria. Ukiwa kwenye hiyo sehemu ya kupumzikia ni rahisi kuona anayeingia au kutoka kwenye chumba chake, kiko hapo jirani. Baada ya muda kama nusu saa hivi, nikawaona wanatoka kule chumbani mwake, huyo dokta na yule kijana ambaye madokta wenzie huwa wanasema ni ndugu yake. Nilipomwambia nimesubiri pale muda mrefu, alionekana kustuka!

Kifupi ni kwamba nilikuja kusikia baadae kuwa jamaa ni 'bwabwa', na yule kijana ndio alikuwaga anamshughulikia! Na hata baadae huyo dokta alikuja kuoa dokta mwenzie na walipata mtoto.
 
Kama suala ni simu,basi aanzie kuweka mtego kwa simu hiyo hiyo,ila awe makini.kwa kutumia hiyo namba unaweza kujua kama ni huyo rafiki yake kweli au ni demu.
 

Hiyo namba ya simu ni ya rafiki yake, nimeisha ipiga nikaongea naye, jamaa asivyo na aibu akaniulizia Mr anaendeleaje!? Nilichoka kabisa huyu jamaa niwatanga, sasa huo urafiki wao na sisi watu wa Dodoma sipati jibu. Huyo rafiki yake akija nyumbani naona Mr huwa anabadilika anakuwa na ukarimu wa ajabu. Mpaka nimelata hapa kwenye forum mjue nimejionea mengi. Ajabu hatuna shida ya kiamapenzi yuko poa ila sasa kama anamchezo huo ni aibu kwangu!
 

Hao wa hivyo wanaitwa 'mchicha-mwiba'. Baadae akiendeleza sana libeneke hilo anabadilika taratibu kuwa 'mchicha' tu, sio mwiba tena, hapo 'shida ya kimapenzi' utaanza kuiona. Pole mama!
 

Kwa mtazamo wako sio tatizo kama ana kimada ila angekuwa shoga ndio tatizo... duuu kwa mtaji huu tuna safari ndefu.
 
Tafadhali Mwamtama, mchunguze huyo mchumba kabla ya kuingia ndoani. Hilo la kumuita mpenzi mwanamume mwenzake hata mie naona kuna walakini, maana kwa wanawake si ajabu kuitana hivyo.
Once again mchunguze huyo, uamue mapema kusuka au kunyoa.
Iko hivi kama jamaa anamwita mwanaume mwenzie mpenzi ni ukweli kwa wengine lazima tutaanza kupata wasiwasi!Lakini hata wanawake pia wanapenzi wao wake nao itakuwaje(Lesbian)kwa mwanaume(Gay);nafikiri umenisoma.Kwahiyo tusiangalie upande mmoja wa shilingi tu.
 
hayo matukio yote unasema na wewe ndio unaona na una akili timamu ya kuweza kukufanya huwe na wasi wasi na kugundua kasoro kwa jamaa yako.sisi wote humu tunakusikiliza wewe ni tofauti na kuona kwa macho.sasa kama una huakika kwamba kashakupa dalili zote yeye anatabia hio chafu ni vitu viwili vya kufanya.kwanza kama bado unampenda na inaonekana bado unampenda na unataka kuwa nae basi ujaribu kuweka kikao hata na wazazi wake abadirishe hio tabia kama kweli bado unamuhitaji kuwa nae kiasi hiko.pili kama una uwezo wa kuachana nae kutokana na tabia zake ufanye maamuzi mapema kabla mambo yajawa hatari zaidi na kabla mjapiga hatua ya kuwa mke na mume.
 
Mwanamtama, kwa maelezo yako hapa, huyo "mr" wako ndo ivo tena , kama hutapenda hiyo aibu ya kuolewa na shoga ni bora tu ufanye utaratibu muachane kabla haijafika mbali. Mwanaume kumwita mwenzake "mpenzi" kisha tena anajaribisha 'vinguo' vyako vya ndani vingine vya utata, na perfume etc sio kawaida kabisa. Mwanaume gani anajaribisha nguo za ndani za mkewe? kama akitaka kujua saizi si akuulize kwani mnalingana mawowo etc?

hebu jichukulie 'ustaarabu' wako. Ukitaka wanaume 'strait' hata hapa wapo wengi tu. Pole.
 

duh huyo mbona tabia za kishoga anazo tele.how else do u xplain hayo ya bra na gstring.kama anataka kukununulia lazima apimishe? Confront him wth yo facts n fears au Achana nae tu kabisa. Atakuletea ukimwi!
 
e bwana hapo hamna cha kuita wazazi wala nani huyo ni wakumtosa tu,jamaa inaonekana kabisa kamchezo hako kamemnogea wala hawezi kubadilika sahau ukiendelea nae jiandae na aibu huko mbeleni,maana kitendo cha kumleta huyo bashaake mpaka hapo nyumbani ina maana tayari hana aibu kuhusu hilo,na usishangae ukiachana nae ndio akamuhamishia basha wake hapo nyumbani.ingawa unampenda,na najua nini maana ya mapenzi,hapo umeula wa chuya,pole mwanamtama ningekuwa hapo karibu ningekufariji kwa kufanya mapinduzi straight maana unaonekana ni mstaarabu sana.polee
 



aaarrggh! mnaaribu sasa, acheni kuwafundisha bana!
 
hebu jichukulie 'ustaarabu' wako. Ukitaka wanaume 'strait' hata hapa wapo wengi tu. Pole.
Kama vile ulijua kaka
huyu dada akilivua pendo basi aje straight kwa SIPO na harusi hasitie shaka tutafunga tu kwa muda muafaka
Please dada husitange tange ukilivua tu tangaza hapa au ili kuondoa purukushani uni-PM kabisa
 

duh!hii kiboko mazeya!
 
Kama vile ulijua kaka
huyu dada akilivua pendo basi aje straight kwa SIPO na harusi hasitie shaka tutafunga tu kwa muda muafaka
Please dada husitange tange ukilivua tu tangaza hapa au ili kuondoa purukushani uni-PM kabisa


Hili fagizi la nguvu....! mazee huitaji kujua dini wala kabila unabeba mzigo
 
Hili fagizi la nguvu....! mazee huitaji kujua dini wala kabila unabeba mzigo
Mzeiya haya mambo mawili sio priorty sana kwangu kwenye mapenzi
Kwanza ile mambo ikiwa fresh ndio ya muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…