Pole sana mpenz wangu,
Ndio mambo ya dunia hayo, wanasema hujafa hujaumbika na mshkuru maulana kwa kila jambo.
Kiingereza wanasema you can not fight agaist nature, na ni mara chache saana tabia kubaduruka.
Opra anasena we need to say no to the Altar, if you real need an inner peace to a life time commitments, especialy if you do have dauts kwa mpenzio.
Yametukuta wengi, na wengi wa wetu tumeishia kuingia kwenye regrates.
Nakushauri, mfuatilie vyema huyo mchumba uliyenaye, ingia cost zozote wanasema you fight for what you value and love the most...ukiamua ni swala la siku tu. Fahamu ukweli na si tetesi.
Kama ni kweli, achana naye na jipe ujasiri wa kupima afya.
Hatufahamu kilichompelekea kuwa na tabia hiyo, ila yaweza kuwa ni biological make up, hivyo usimtupie lawama.
U muamuzi wa mwisho kuhusu maisha yako.
Best of luck.