Mpwa huyu jamaa noma kabisa.......anafanyiwa mambo ya aibu kabisa! ushawasiliana na Mwanamtama?
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa muda mrefu huwa kila sehemu wanakuwa naye nimegundua huenda huyo ndiye anayefanya naye mchezo mbaya. Nimeongea naye hataki kuwa mkweli ila nimeisha ona hata meseji akimwita huyo rafikie wa kiume mpenzi. Jamani nifanyaje?
ili ukitaka kujua kama kweli jamaa yako ni shoga basi siku mnafanya mapenzi chezea chezea ballas zake na mdudu wake and then....jaribu kumuingiza kidole kwenye ****** wake taratibu ukiona kanyamaza kimya hafurukuti basi huyo ni shoga......

Hahahahahahaha si mchezo.
Hata wewe tukitaka kujua unatoa tiGo au hutoi inabidi tuingize kidole huko ukitulia tutajua unajiexpress.
nyie wanaume wote mnajua...na wale wanaume wanaojidai akiona gay anakuwa na hasira na kuanza kijufanya anachefuka hao ndiyo waongo ni downlow hao ila wanaogopa kugundulika so wanajidai wakali kama ukoma...
Mh naibu speaker
Naomba mwongozo, unaweza toa mifano....this is very low....kwa hiyo lijali ni wale wanaocheka cheka na GAYS mhhhh sikubali hili!
Looh basi bwana usije anza aibisha walume!
Hapa ndio Kelly01, sasa ukishafikia kuitwa Kelly99 si utakuwa balaa!No siaibishi shem ila ni kuabiana ukweli na ni kitu kizuri sana mtu aliye on the down low aka come out from the closet....mbona ni kitu cha kawaida tuu...me i love gay guys....na kila mwanamke lazima awe na gay friend kama hana then huyo demu ana walakini...you got have a gay friend.....they r so cool.....
Niko kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa kama miaka 3 hivi na tunategemea kufunga Dec kama mambo yatakuwa salama. Siku za hapa karibuni nimehisi Mr wangu anatabia za kishoga. Ana rafiki yake wa muda mrefu huwa kila sehemu wanakuwa naye nimegundua huenda huyo ndiye anayefanya naye mchezo mbaya. Nimeongea naye hataki kuwa mkweli ila nimeisha ona hata meseji akimwita huyo rafikie wa kiume mpenzi. Jamani nifanyaje?
Kelly01 unawafanyia kampeni hawa jamaa (cake boy) ili tuwakubali au tuwapende?Masanilo na Fidel80....i think this girl need to get buckwild you know...she need to intiate threesomes...amwambie mwanaume wake why don't we do three some lakini huyo partner wa tatu awe mwanaume aone kama atakubali au atasita...alafu another thing ni kwamba if i was on her hsoes unajua kwanza what i will do?...ningefanya reserch kwanza ningetengeneza urafiki pia na huyo rafiki mwanaume wa mume wangu....unajua the thing about gay guys are so sweet...na wala siyo waongo they don;t hide anything,...me i have a lot of gay guy friends we talk about everything....i call them my gossip buddies.....
Na nikiwa club or hata tukiwa shopping...if a guy make a move on me they tell me if he is straight or gay...maana wanajua jinsi ya kuangalia na kujua kama ni bisexual or straight........nyie wanaume wote mnajua...na wale wanaume wanaojidai akiona gay anakuwa na hasira na kuanza kijufanya anachefuka hao ndiyo waongo ni downlow hao ila wanaogopa kugundulika so wanajidai wakali kama ukoma...
ACHA WASIWASI WEWE BIBIE HUYO MCHUMBA WAKO SIO SHOGA WALA NINI SEMA KASEVU JINA LA KIMEO CHAKE CHA NJE KINACHOMPA MAMBO MATAMU KWA JINA LA RAFIKI YAKE UNAYEMFAHAMU WEWE ILI HATA UKIONA SIMU INAITA WEWE HUSIIPOKEE. SASA TATIZO WEWE UMEENDA BEYOND HADI KUSOMA MESEJI KWENYE SIMU YA MCHUMBAKO NDIO MAANA UMEONA HIYO MESSAGE UKAPATA KIWEWE.
THEREFORE ENDELEA NA MIPANGO YA HARUSI KAMA KAWAIDA UTAVUNJA HIYO MIPANGO BAADAE UTAJUTA UTAKAPOUJUA UKWELI.
MIMI NINA MSHIKAJI WANGU ANA HIYO TABIA NAMBA ZA VIMADA WAKE ANASEVU MAJINA YA WASHIKAJI ZAKE, WIFE AKIONA INAITA UTASIKIA ''MUME WANGU NJOO SHEMEJI EMMANUEL ANAPIGA SIMU'' KUMBE HAPO ANAPIGA HALIMA
fanya uchunguzi kwanza kabla ya kulivua pendo ukaja juuuta bure
kweli kabisa na hapo umemsaidia sana huyo dada kutatua tatizo lake, wanaume wengi siku hizivimeo vyao husave kwa majina ya kiumeACHA WASIWASI WEWE BIBIE HUYO MCHUMBA WAKO SIO SHOGA WALA NINI SEMA KASEVU JINA LA KIMEO CHAKE CHA NJE KINACHOMPA MAMBO MATAMU KWA JINA LA RAFIKI YAKE UNAYEMFAHAMU WEWE ILI HATA UKIONA SIMU INAITA WEWE HUSIIPOKEE. SASA TATIZO WEWE UMEENDA BEYOND HADI KUSOMA MESEJI KWENYE SIMU YA MCHUMBAKO NDIO MAANA UMEONA HIYO MESSAGE UKAPATA KIWEWE.
THEREFORE ENDELEA NA MIPANGO YA HARUSI KAMA KAWAIDA UTAVUNJA HIYO MIPANGO BAADAE UTAJUTA UTAKAPOUJUA UKWELI.
MIMI NINA MSHIKAJI WANGU ANA HIYO TABIA NAMBA ZA VIMADA WAKE ANASEVU MAJINA YA WASHIKAJI ZAKE, WIFE AKIONA INAITA UTASIKIA ''MUME WANGU NJOO SHEMEJI EMMANUEL ANAPIGA SIMU'' KUMBE HAPO ANAPIGA HALIMA
fanya uchunguzi kwanza kabla ya kulivua pendo ukaja juuuta bure
siyo vizuri kutoa mifano Kamanda.....ila ndiyo hivyo nakwambia nimeshafanya reserch zangu na wengine wako humu humu JF....ila wanajifaya mademe ya mbegu.......