Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

1 na 2 kwa hili taifa letu ni very very impossible tena kwa vyuo vya private ni ngumu mnoo nina ushahidi wa hili kwa rafiki ambaye aliishia kuacha chuo

Kuhusu sponsors nadhani kazungumzia hapo juu na hii ni njia mojawapo ya kutafuta hao sponsors .

Kila la kheri mleta mada naelewa maisha ya chuo yalivyo magumu usikate ta
Shukhrani kiongozi
 
Siwezi nikanuna kaka kwani saivi natafuta solution ya changamoto kama ni kununa nimenuna mpaka pressure ikapanda ndo nikaamua kuja humu JF.
Ndio hapo naomba wazo Kwa upande wako nichukue boom mbili halafu nitapospon ...maanaake nikipospon bila kuchukua boom nitakuwa narudia Yale Yale haitasaidia.
Nianze biashara then mbeleni kutajulkana ? Au niendelee kuteseka chuoni Kwa maisha ya kuungaunga ivi
Kwanza ulivyopanga kwa siku upate elfu 30, hiyo sawa lakini ujue inaweza ikaja zaidi ya hapo au chini zaidi kwa hiyo hizo threates zisije zikakutoa kwenye reli na kama hujawahi kufanya biashara sikuambii usifanye lakini umechagua vita namba 1 dunia huko hakuitaji lialia ni kureact kutokana na hali na sio ulete huruma tena
 
Biashara nishawahi Fanya ndogo ndogo sana kipindi nipo olevel Ambazo nikama kuuza karanga,miwa japo hata kuuza mifugo nilishajaribu japo inahitaji Imani Sana .
Kwa maana hiyo sina uzoefu Sana katika biashara ,japo ni wazo ambalo lilinijia kichwani baada ya kuona kila kitu hakiwezekani na nadhidi kuteseka
 
Usiiweke pesa yote kwa mara moja harafu usifanye biashara ndogo ya kuuza miwa hiyo utapoteza time! Asante nimeishia hapo endelea na ushauri kwa wengine
 
Kaza mzee fanya registration then weka control number wadau watakusapoti.

Ukiweka valid control number nachanga 50k.
Ahsante Sana mkubwa,umepata moyo wa kunisapoti nashukhuru Sana.
Hapa tunasubiria matokeo.
Yakishatoka Tu na chuo kikifunguliwa ambapo ni tarehe 12.
Nitajitahidi kufanya registration na control number nitakutumia .
Shukhurani Sana kwa Moyo wa upendo Mungu akubariki🙏🙏
 
Kila la kheri mkuu usichoke kupambana 🔥
 
Usiiweke pesa yote kwa mara moja harafu usifanye biashara ndogo ya kuuza miwa hiyo utapoteza time! Asante nimeishia hapo endelea na ushauri kwa wengine
Ahsante Kwa maoni yako nitayafanyia Kazi na nitaangalia nzuri zaidi .
Nipo nasikiliza.karibu sana
 
Niko katika Hali mbaya naombeni ushauri wenu .
Mm ni mwanachuo mwaka wa pili Bachelor of science in nursing.
Chuo kikuu kilichopo Dodoma (private) ,ambapo nalipa Ada 3M.+compulsory charges(350k).
Jumla Kwa mwaka ni kama 3.4M.
Hapo ni Ada na compulsory charges.
Bado hela ya Kula mwenyewe ,kuandaa Kazi,na Kodi(almost huwa najibana natumia 500k Kwa mwaka).
HESLB(bodi ya mikopo ) imenipa boom pekee yaani MA,ambayo ni Sawa na laki7 baada ya miezi miwili total 2.8M.
Ukizingatia uchumi wa nyumbani mbaya mama pekee ndo anapambana kulima hapa na pale na kuna wadogo zangu pia wanasoma ,kile kinachopatikana ndo tunagawana ivoivo...
Imefikia wakati mm nawaza hadi nashindwa kufanya KAZI(ukizingatia nipo field saivi).
Hela ya chakula Amna,huko nlkopanga na kwenyewe ananidai Kodi,Nguo toka mwaka Jana likizo ya mwezi wa 10 sjawahi nunua ata ya kubadirisha, boom lote sjawahi gusa Ata Mia lote nalipaga Ada ya chuo.

Kwaninni nimekuja kwenu JF?
1.Toka juzi nawaza nisubirie boom ya Kwanza na ya pili itoke ambapo ni Sawa na 1.4M.
Niachane na chuo nianze biashara ambayo inaweza kunipa faida ata ya elfu 30 Kwa siku ambapo Kwa mwezi NI kama laki 9.
Hiyo pesa ni zaidi ya mshahara wa NO aliye na leseni.
Kwasababu siwezi kujigharamia mwaka ujao ambao ni wa 3 na wa 4 kwangu otherwise nitafail nakuishia kucarry vibaya.

2.Kama kunauwezekano wakupata sponsor ambaye anaweza nisponsor 1m Kwa mwaka nikamalizia nitapay nikimaliza nipo tayari Kwa dodoso na kusikiliza zaidi nahitaji Msaada.

Naombeni mawazo na ushauri wenu najua kuna watu huenda wamepitia Hali kama hii ...au unaweza kunisaidia kuvuka hapa.
Siko Sawa Kwa kweli kukimbia chuo kuko karibu Sana.

Karibuni Kwa mawazo yenu nitafurahi Sana endapo nitapata solution kupitia hili jukwaa.
Usikate tamaa endelea na shule
 
Usikate tamaa endelea na s
Nimekuelewa mkuu lakini changamoto niliyonayo ndo inanifanya nisiendelee na shule siyo mm ndo naamua .
Hadi hapa nipo wodini naendelea na field lakini je nitaendelea iviivi bilq kupata basic needs,na chuo kinakaribia kufunguliwa Ada na hela ya kujikimu bado still problem .japo nipe mbinu niweze kupata japo kidogo
 
life255
 
Hilo boom unalopata jaribu kuangalia hata kijibiashara kidogo uwe unapata hata buku inabid upambane usichoke ingekua upo Dar ningekushauri uchukue zile piki piki za mkopo halafu usajili kwenye bolt
 
Ahsante kaka.
Vipi kwa Dodoma biashara gani ndogo ambayo inaenda au inaweza kunipa chochote endapo nitapospon na kuchukua boom zote mbili
 
Ahsante kaka.
Vipi kwa Dodoma biashara gani ndogo ambayo inaenda au inaweza kunipa chochote endapo nitapospon na kuchukua boom zote mbili

Niko katika Hali mbaya naombeni ushauri wenu .
Mm ni mwanachuo mwaka wa pili Bachelor of science in nursing.
Chuo kikuu kilichopo Dodoma (private) ,ambapo nalipa Ada 3M.+compulsory charges(350k).
Jumla Kwa mwaka ni kama 3.4M.
Hapo ni Ada na compulsory charges.
Bado hela ya Kula mwenyewe ,kuandaa Kazi,na Kodi(almost huwa najibana natumia 500k Kwa mwaka).
HESLB(bodi ya mikopo ) imenipa boom pekee yaani MA,ambayo ni Sawa na laki7 baada ya miezi miwili total 2.8M.
Ukizingatia uchumi wa nyumbani mbaya mama pekee ndo anapambana kulima hapa na pale na kuna wadogo zangu pia wanasoma ,kile kinachopatikana ndo tunagawana ivoivo...
Imefikia wakati mm nawaza hadi nashindwa kufanya KAZI(ukizingatia nipo field saivi).
Hela ya chakula Amna,huko nlkopanga na kwenyewe ananidai Kodi,Nguo toka mwaka Jana likizo ya mwezi wa 10 sjawahi nunua ata ya kubadirisha, boom lote sjawahi gusa Ata Mia lote nalipaga Ada ya chuo.

Kwaninni nimekuja kwenu JF?
1.Toka juzi nawaza nisubirie boom ya Kwanza na ya pili itoke ambapo ni Sawa na 1.4M.
Niachane na chuo nianze biashara ambayo inaweza kunipa faida ata ya elfu 30 Kwa siku ambapo Kwa mwezi NI kama laki 9.
Hiyo pesa ni zaidi ya mshahara wa NO aliye na leseni.
Kwasababu siwezi kujigharamia mwaka ujao ambao ni wa 3 na wa 4 kwangu otherwise nitafail nakuishia kucarry vibaya.

2.Kama kunauwezekano wakupata sponsor ambaye anaweza nisponsor 1m Kwa mwaka nikamalizia nitapay nikimaliza nipo tayari Kwa dodoso na kusikiliza zaidi nahitaji Msaada.

Naombeni mawazo na ushauri wenu najua kuna watu huenda wamepitia Hali kama hii ...au unaweza kunisaidia kuvuka hapa.
Siko Sawa Kwa kweli kukimbia chuo kuko karibu Sana.

Karibuni Kwa mawazo yenu nitafurahi Sana endapo nitapata solution kupitia hili jukwaa.
Au kama kuna mtu anaeweza kunipa connection nikapata sponsor wa kunisponsor Mda wa masomo ulobakia itakuwa vizuri zaidi make adi saivi sjapata solution
 
Back
Top Bottom