Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

Shukhrani kiongozi
 
Kwanza ulivyopanga kwa siku upate elfu 30, hiyo sawa lakini ujue inaweza ikaja zaidi ya hapo au chini zaidi kwa hiyo hizo threates zisije zikakutoa kwenye reli na kama hujawahi kufanya biashara sikuambii usifanye lakini umechagua vita namba 1 dunia huko hakuitaji lialia ni kureact kutokana na hali na sio ulete huruma tena
 
Biashara nishawahi Fanya ndogo ndogo sana kipindi nipo olevel Ambazo nikama kuuza karanga,miwa japo hata kuuza mifugo nilishajaribu japo inahitaji Imani Sana .
Kwa maana hiyo sina uzoefu Sana katika biashara ,japo ni wazo ambalo lilinijia kichwani baada ya kuona kila kitu hakiwezekani na nadhidi kuteseka
 
Usiiweke pesa yote kwa mara moja harafu usifanye biashara ndogo ya kuuza miwa hiyo utapoteza time! Asante nimeishia hapo endelea na ushauri kwa wengine
 
Kaza mzee fanya registration then weka control number wadau watakusapoti.

Ukiweka valid control number nachanga 50k.
Ahsante Sana mkubwa,umepata moyo wa kunisapoti nashukhuru Sana.
Hapa tunasubiria matokeo.
Yakishatoka Tu na chuo kikifunguliwa ambapo ni tarehe 12.
Nitajitahidi kufanya registration na control number nitakutumia .
Shukhurani Sana kwa Moyo wa upendo Mungu akubariki🙏🙏
 
Kila la kheri mkuu usichoke kupambana 🔥
 
Usiiweke pesa yote kwa mara moja harafu usifanye biashara ndogo ya kuuza miwa hiyo utapoteza time! Asante nimeishia hapo endelea na ushauri kwa wengine
Ahsante Kwa maoni yako nitayafanyia Kazi na nitaangalia nzuri zaidi .
Nipo nasikiliza.karibu sana
 
Usikate tamaa endelea na shule
 
Usikate tamaa endelea na s
Nimekuelewa mkuu lakini changamoto niliyonayo ndo inanifanya nisiendelee na shule siyo mm ndo naamua .
Hadi hapa nipo wodini naendelea na field lakini je nitaendelea iviivi bilq kupata basic needs,na chuo kinakaribia kufunguliwa Ada na hela ya kujikimu bado still problem .japo nipe mbinu niweze kupata japo kidogo
 
life255
 
Hilo boom unalopata jaribu kuangalia hata kijibiashara kidogo uwe unapata hata buku inabid upambane usichoke ingekua upo Dar ningekushauri uchukue zile piki piki za mkopo halafu usajili kwenye bolt
 
Hilo boom unalopata jaribu kuangalia hata kijibiashara kidogo uwe unapata hata buku inabid upambane usichoke ingekua upo Dar ningekushauri uchukue zile piki piki za mkopo halafu usajili kwenye bolt
Ahsante kaka.
Vipi kwa Dodoma biashara gani ndogo ambayo inaenda au inaweza kunipa chochote endapo nitapospon na kuchukua boom zote mbili
 
Ahsante kaka.
Vipi kwa Dodoma biashara gani ndogo ambayo inaenda au inaweza kunipa chochote endapo nitapospon na kuchukua boom zote mbili

Au kama kuna mtu anaeweza kunipa connection nikapata sponsor wa kunisponsor Mda wa masomo ulobakia itakuwa vizuri zaidi make adi saivi sjapata solution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…