Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

Yaba buluku ni kundi la vijana linalofanya vizuri huko SA na Moja wamemshirikisha mkali wa Nigeria Burna boy
 
Ndiyo ule mdundo mmoja mnaurudia kila siku ila mnabadilisha tu mashairi??
 
Ingia kwenye huo uzi hapo juu kuna mixing mbalimbali ila tatzo ni makorombwezo...
 
Back
Top Bottom