Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

Yaba buluku ni kundi la vijana linalofanya vizuri huko SA na Moja wamemshirikisha mkali wa Nigeria Burna boy
 
Hiyo ya Juu alopost Dj D Ommy ni ya naniii?
 
Hiyo ya Juu alopost Dj D Ommy ni ya naniii
 
Ndiyo ule mdundo mmoja mnaurudia kila siku ila mnabadilisha tu mashairi??
 

Ingia kwenye huo uzi hapo juu kuna mixing mbalimbali ila tatzo ni makorombwezo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…