Thread 'Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26' Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26Na kama nitapatiwa na jina la chuo inapopatikana hiyo kozi, itapendeza zaidi.
Natanguliza shukurani.
Thank u so muchThread 'Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26' Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26
WANAFUNZI WALIOSOMA HGL / HGK / HKL
Kozi zinazopendekezwa:
1. LL. B (B. Law)
2. B. Land Management & Valuation
3. B. A Human Resource Management
4. Kozi zote zinazohusiana na Maendeleo ya Jamii na Mipango (community development & Planning)
5. B.A with Education
6. B. Law Enforcement
View: https://www.instagram.com/p/DMNR-_LiO6f/?igsh=Y2YxMTFhNmV2M2Ez
Wewe jana sijakuona kwenye uzi wa marry na sio kawaida yako 😹😹😹Akasome UDOM Pale coze ya instructions design...
Ukitaka ushauri zaidi nitumie buku tano..
Kama uwezi pita kimya kimya
😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵 Alafu na wewe lazima tuonge vzri an naweza ingia cha kike humu wakati nyie mpo wajanja wa town hapa..Wewe jana sijakuona kwenye uzi wa marry na sio kawaida yako 😹😹😹
Usitake niamini wewe ndo yule fundi wetu mwenye pima maji na mwiko 🤣
Wewe hujawahi kukosa hata uzi mmoja wa marry lakini jana sijakuona hata ukope 😹😹😹😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵 Alafu na wewe lazima tuonge vzri an naweza ingia cha kike humu wakati nyie mpo wajanja wa town hapa..
Marry yohana nimesoma yule..
Hata angenitagi basi mweeeh
Sikuwepo kabisa an sijui nimeukosaje hii imeniuma sana sana aiseee...Wewe hujawahi kukosa hata uzi mmoja wa marry lakini jana sijakuona hata ukope 😹😹😹