GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
tafuta malaika maana hata mimi nina mapungufu yangu .kama unamzarau mwanamke aliezaa hata mimi utanidharau tuwewe unafaana na mimi sema najaribu kuongea kikubwa muda mrefu ila haunielewi daah!
ahahaaaa kawa fursa kweli kwelimzee wa fursa kageuka kuwa fursa.....
tena wewe mtu wa mjini bna fanya mchakato uniunganishe na huyu mtu nakuomba kabla fursa haijavamiwa .nitakupa commision kwenye mauzo yangu ya awaliWatafute Warembo wote wa Tanzania ila hasa hasa wale wanaoishi jijini Dar es Salaam watakupa na ikibidi hata kukupeleka alipolala jana au atakapokuwa leo. Kila la Kheri katika huko kuonana Kwako na Mr. Fursa na naamini mambo yako mengi yatakunyookea hasa ukishaonana nae.
sijamdharau,nimeshangaa tutafuta malaika maana hata mimi nina mapungufu yangu .kama unamzarau mwanamke aliezaa hata mimi utanidharau tu
Ninayo ila sijui kama bado anaitumiahuwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
tena wewe mtu wa mjini bna fanya mchakato uniunganishe na huyu mtu nakuomba kabla fursa haijavamiwa .nitakupa commision kwenye mauzo yangu ya awali
sijamdharau,nimeshangaa tu[/QUO
kuan mambo menhi ya kuangalia kwenye mtu wa kuoana nae . kuna jamaa alitoka marekani akaja nchini akamuoa dada mmoja hivi wa kanisani mtoto wa mchungaji alikuwa bikra.akakataa watu used ,wenye mtoto /watoto.nakuapia ile ndoa haikukaa hata mwaka . hakuna rangi jamaa aliacha kuona.sijamdharau,nimeshangaa tu
za nini?Condoms unazo?
naomba unitumie hivohivo mkuuNinayo ila sijui kama bado anaitumia
dm ndo wapi?Nicheki DM
fursa anazoHivi huwa anazo kweli yule!mbona mkavu sana kama anakula mbilimbi bana[emoji16]
za nini?
Huna haja ya kumjibu huyo anayezungumzia hizo kinga.Namba ya simu ya Mtu ni siri,hopefully wadau Watakupatia by PM.Njia nyingine ya kumpata ni through fb,linkedin,etc.Zipo Njia Nyingi za kumpata kama uko seriousza nini?
Kwa jinsi ulivyomtafutaji,fursa pale zipo. Ukimpata ni pm nikuskoti.fursa anazo