GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm
Watafute Warembo wote wa Tanzania ila hasa hasa wale wanaoishi jijini Dar es Salaam watakupa na ikibidi hata kukupeleka alipolala jana au atakapokuwa leo. Kila la Kheri katika huko kuonana Kwako na Mr. Fursa na naamini mambo yako mengi yatakunyookea hasa ukishaonana nae.