Naombeni namba ya ruge wa clouds

Naombeni namba ya ruge wa clouds

huwa namuadmire sana mzee wa mafursa hapa nchini ruge wa clouds.naomba mwenye namba yake anisaidie kuna bonge la fursa nataka nikae nae tulijadili.
pia kama yupo humu anipm

Watafute Warembo wote wa Tanzania ila hasa hasa wale wanaoishi jijini Dar es Salaam watakupa na ikibidi hata kukupeleka alipolala jana au atakapokuwa leo. Kila la Kheri katika huko kuonana Kwako na Mr. Fursa na naamini mambo yako mengi yatakunyookea hasa ukishaonana nae.
 
wewe unafaana na mimi sema najaribu kuongea kikubwa muda mrefu ila haunielewi daah!
tafuta malaika maana hata mimi nina mapungufu yangu .kama unamzarau mwanamke aliezaa hata mimi utanidharau tu
 
Watafute Warembo wote wa Tanzania ila hasa hasa wale wanaoishi jijini Dar es Salaam watakupa na ikibidi hata kukupeleka alipolala jana au atakapokuwa leo. Kila la Kheri katika huko kuonana Kwako na Mr. Fursa na naamini mambo yako mengi yatakunyookea hasa ukishaonana nae.
tena wewe mtu wa mjini bna fanya mchakato uniunganishe na huyu mtu nakuomba kabla fursa haijavamiwa .nitakupa commision kwenye mauzo yangu ya awali
 
Hivi huwa anazo kweli yule!mbona mkavu sana kama anakula mbilimbi bana[emoji16]
 
sijamdharau,nimeshangaa tu[/QUO
sijamdharau,nimeshangaa tu
kuan mambo menhi ya kuangalia kwenye mtu wa kuoana nae . kuna jamaa alitoka marekani akaja nchini akamuoa dada mmoja hivi wa kanisani mtoto wa mchungaji alikuwa bikra.akakataa watu used ,wenye mtoto /watoto.nakuapia ile ndoa haikukaa hata mwaka . hakuna rangi jamaa aliacha kuona.
 
Huna haja ya kumjibu huyo anayezungumzia hizo kinga.Namba ya simu ya Mtu ni siri,hopefully wadau Watakupatia by PM.Njia nyingine ya kumpata ni through fb,linkedin,etc.Zipo Njia Nyingi za kumpata kama uko serious
 
Back
Top Bottom