Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu.

=============

Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri kiafya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Mkuu kula tu ukiikuta ya kuchoma na ugali pamoja na Pepsi baridi, mbeya mwailubi pale hahahah karibu Niko napata apa.
5bfa37f53eba3eef37c8864a723173cd.jpg
 
Back
Top Bottom