Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea mazara jamani na nyama ni tamu

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Raha ya kitimoto muwe marafiki wanne mlioshibana halafu mnaagiza kilo mbili kavu na kilo mbili roast, grant's moja Kama appetizer, sauce, kachumbari na ndizi kubwa kumi na mbili, baada ya hapo beer zianze huku mnaangalia mpira wa YANGA halafu Yanga oanaongoza kwa bao moja.bar yenyewe iwe na mabar maid mizigo mmoja anahudumia meza yenu tu.

Huko nyumbani waif awe ameenda kwao Iringa babake mgonjwa. Utaomba bar isifungwe.
 
Back
Top Bottom