Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Naombeni namna ya kuepuka kula kitimoto

Imeshakuathiri tayari Mkuu si unaona imekuletea "mazara"
Chukua pombe kali yoyote isiyo na rangi weka nusu kwenye bilauri kisha tumbukiza kipande cha kitimoto iliyoiva subiri dakika 3 hivi kisha angalia ndani ya bilauri.. Utakachoona kitakupa majibu ya kuendelea kula ama kuacha
 
Raha ya kitimoto muwe marafiki wanne mlioshibana halafu mnaagiza kilo mbili kavu na kilo mbili roast, grant's moja Kama appetizer, sauce, kachumbari na ndizi kubwa kumi na mbili, baada ya hapo beer zianze huku mnaangalia mpira wa YANGA halafu Yanga oanaongoza kwa bao moja.bar yenyewe iwe na mabar maid mizigo mmoja anahudumia meza yenu tu.
Huko nyumbani waif awe ameenda kwao Iringa babake mgonjwa.
Utaomba bar isifungwe.
Na wife huko Iringa anachaktwa mbususu so yupo busy..simu hakupigii na mfukoni una laki 3 haina kazi na mmoja wa barmaid anatoka mapema saa kumi ..na namba yake unayo...!
 
Huko kote nakujua, fire, kwa mwenyekiti, pale karibu na kanisa Katoliki jimbo la Mtwara kama unaelekea kwa mkuu wa mkoa upande wa kushoto, etc.. Hayo ni maeneo ya mjini..!! Nipo mbali na huko
Hapo karibu na kanis kina mdada alitwa vicky akiuuza Kiri kitambo bado yupo?
 
images.jpeg
 
Na wife huko Iringa anachaktwa mbususu so yupo busy..simu hakupigii na mfukoni una laki 3 haina kazi na mmoja wa barmaid anatoka mapema saa kumi ..na namba yake unayo...!
Mimi ni mzaramo.
Kikwetu tunasema "ni mkeo tu akiwa nyumbani kwako" akienda kwenye ngoma au kwao wewe assume tu kwamba haguswi.
Hatuna wivu Kama wasambaa au wazigua.
 
HV kwa dar Happ ukiacha kinyerezi nan mtaalamu mwingine wa kuanda huyu mnyama?
 
Raha ya kitimoto muwe marafiki wanne mlioshibana halafu mnaagiza kilo mbili kavu na kilo mbili roast, grant's moja Kama appetizer, sauce, kachumbari na ndizi kubwa kumi na mbili, baada ya hapo beer zianze huku mnaangalia mpira wa YANGA halafu Yanga oanaongoza kwa bao moja.bar yenyewe iwe na mabar maid mizigo mmoja anahudumia meza yenu tu.
Huko nyumbani waif awe ameenda kwao Iringa babake mgonjwa.
Utaomba bar isifungwe.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah
 
Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea mazara jamani na nyama ni tamu
Km wewe tayari ni mlaji wa kitimoto wa siku nyingi, kuacha Haiwezekani, Halafu unaiacha kwasababu gani??,Ili iweje?, maana kitimoto ndio nyama tamuu kuliko nyama nyingine.
 
Back
Top Bottom