Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
Ungekuwepo mbeya kila weekend tunaenda kula pale afu utamu wake sio wa inchi hii mkuu.Hahahaha Daa wee jamaa embu ngoja niende Peace Pub kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwepo mbeya kila weekend tunaenda kula pale afu utamu wake sio wa inchi hii mkuu.Hahahaha Daa wee jamaa embu ngoja niende Peace Pub kwanza
Nouma mkuu hii kitu.Dah!!!,Nimeshaanza kusalvate.
Ahahaha sina uhakika kiongoziHapo karibu na kanis kina mdada alitwa vicky akiuuza Kiri kitambo bado yupo?
Yaani huyu mdudu siwezi kumuacha kwa Kweli.Nouma mkuu hii kitu.
Ukitaka kuacha kula mdudu kwa urahisi, hamia tu kwa wafuasi wa Mudi au Ellen White.Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu
=============
Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri kiafya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Ukitaka kuacha kula kitimoto ni kuswitch tu. Anza kula nguruwe maana kitimoto ina wese balaa na hivi tuna shida na mafuta, nyie wenye hifadhi za taifa za mafuta mwilini mtaanza kuwa dili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu
=============
Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri kiafya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
kuna chimbo lipo iyunga pale pork point ni balaaMkuu kula tu ukiikuta ya kuchoma na ugali pamoja na Pepsi baridi, mbeya mwailubi pale hahahah karibu Niko napata apa.View attachment 2262631
Sasa wewe ktk dunia hii unafaidi Nini zaidi ya fimbo ya kiume??.Ni kuamua tu.
I'm not drinking pia sili nguruwe, nimeamua tu,
Mbona siipati hiyo Mkuu?dah!!, nipe ramani.kuna chimbo lipo iyunga pale pork point ni balaa
Kutokula huyu mdudu Ni kukosa vitu vizuri duniani.hahaha
Ukiniwekea aya toka Bublia Takatifu na quran mimi mgen nimeharimishiwa nyama ya nguruwe nitarerdi Ukristo na kwenye uislamu siji nitakuwa mchawi wa kienyeji![emoji101][emoji101]tafuta biblia utaona uharamu wake
Ngoja nifikekuna chimbo lipo iyunga pale pork point ni balaa
Nenda pale Leggo ndio utajuaHV kwa dar Happ ukiacha kinyerezi nan mtaalamu mwingine wa kuanda huyu mnyama?
Wapi nikupe connectionNilipo ni kusini mwa Tanzania na wanaotuzunguka 99% ni waislamu. Hakuna kijiwe cha the loved Kitimoto. You can imagine mate kiasi gani yashanitoka
Waambie watu ukila wakulambe njiti 100Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea madhara jamani na nyama ni tamu.
=============
Asanteni sana kwa ushauri naona nimelaaniwa vikali kuacha hii kitu na wadau wadau wote wamesema niendelee kuila ni nzuri kiafya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Ukiniwekea aya toka Bublia Takatifu na quran mimi mgen nimeharimishiwa nyama ya nguruwe nitarerdi Ukristo na kwenye uislamu siji nitakuwa mchawi wa kienyeji![emoji101][emoji101]