mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Duniani ambao hatuli mbususu starehe yetu ni kitimoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah udenda hapa
Hahaha noma sana mkuu ile kituUngekuwepo mbeya kila weekend tunaenda kula pale afu utamu wake sio wa inchi hii mkuu.
Daaah!!
Ngoja nikurushie chombo ya leo mchanaDaaah!!
Haya mateso. Umekusudia kututesa. Yaani mate imejaa mdomoni, siyo kwa kutamani huku!![emoji39][emoji39]
Daaah!!
Haya mateso. Umekusudia kututesa. Yaani mate imejaa mdomoni, siyo kwa kutamani huku!![emoji39][emoji39]
Kuna kitu hujui mkuu, hujajua wateja wa hyo kitu ni kina nani.Nitauwawa...!! Fikiria, wakati wa mfungo maduka hufungwa mchana wote
Hapa wapi mzee baba hakika inavutiaHamia kwny foil ya ng’ombe/mbuzi huta jutiaView attachment 2262643
KazimotoHV kwa dar Happ ukiacha kinyerezi nan mtaalamu mwingine wa kuanda huyu mnyama?
Wapi fundi gani kaiwekea nakshi hiviHii kitu unapata arusha pekee.... matatizo makubwa sana jamani
Yupo dada mmoja mtaalam sana hapa Arusha anaitwa Mandi... ,kitimoto yake ni balaaWapi fundi gani kaiwekea nakshi hivi
Mbona kakuibia, sauce kidogo sana na majani kidogoYupo dada mmoja mtaalam sana hapa Arusha anaitwa Mandi... ,kitimoto yake ni balaa