Imeshakuathiri tayari Mkuu si unaona imekuletea "mazara"Nipo jirani na wauzaji kwa kweli napata tabu sana kuacha kula maana nahisi itaniletea mazara jamani na nyama ni tamu
Nyie, mnatutoa mate ofisini banaaa..!!View attachment 2262632
Nunua haraf uniite mimi
Piga simu walete hapo kiongoziNyie, mnatutoa mate ofisini banaaa..!!
Nyie, mnatutoa mate ofisini banaaa..!!
Nilipo ni kusini mwa Tanzania na wanaotuzunguka 99% ni waislamu. Hakuna kijiwe cha the loved Kitimoto. You can imagine mate kiasi gani yashanitokaPiga simu walete hapo kiongozi
Weeeeeeeeeeeeee...!!! Apetite ya kitimoto haiwezi kumalizwa na ugali dagaa banaa..!!Si unatengeneza appetite ya lunch?
Yesu wanguuu..!!! Ukisikia mateso bila chuki ndo haya sasa..!!
Dini ina uhusiano gani na kitimoto? Uchu wa kitimoto wapi na wapi na dini ya mtu?badili dini