Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu

Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..

Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..

Mwenye nayo please naomba iweke hapa

=====

Wakuu Walioachwa mkeka wa mama Wa Ma DC

1. Richard Kasesela - Iringa
2. Lengai Sabaya - Hai
3. Lydia Bupilipili - Bunda
4. Ruth Blasio Msafiri - Njombe
5. Deogratius Kinawilo - Bukoba
6. Dr. Philis Nyimbi - Nyamagana
7. Dr. Severine Lalika-Ilemela
8. Dr. Kipole -Sengerema
9. Cornel Magembe - Ukerewe
10. Simon Odunga - Rorya
11. Eng. Mtemi Msafiri - Tarime
12. Nyamaganga Talaba - Kishapu
13. Anna Nyamubi - Butiama
14. Salehe Mhando - Tanganyika
15. Paul Ntinika - Mbeya
16. Asia Abdalah - Kilolo
 
Lengai Ole Sabaya Hai, Richard Kasesera Iringa, hawa ni kwa uchache tu. Na kwa sababu tu ya umaarufu wao.

Ila Watanzania tuamke kutoka usingizi! Tunashindwaje kuidai Katiba yetu tuliyo itolea maoni mwanzoni mwa mwaka 2010? Hivi vyeo vya Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wabunge wa Viti Maalum na wa kuteuliwa, nk tulipendekeza vifutwe! Maana havina umuhimu kivile! Vinatolewa kwa kujuana na kwa misingi ya uccm, na siyo ubora wa mtu.

Pia tulipendekeza kupunguzwa kwa mamlaka ya Rais katika uteuzi, maamuzi,nk! Lakini mpaka leo hawa Ccm wanaendelea tu kutuchezea mchezo wa paka na panya! Wazalendo wenzangu wa nchi hii mnaochukizwa na namma Serikali ya ccm inavyo iongoza nchi yetu, tuwafanye nini hawa MCHWA?
 
Lengai Ole Sabaya Hai, Kihongosi Arusha Mjini, Richard Kasesera Iringa, hawa ni kwa uchache tu. Na kwa sababu tu ya umaarufu wao.

Ila Watanzania tuamke kutoka usingizi! Tunashindwaje kuidai Katiba yetu tuliyo itolea maoni mwanzoni mwa mwaka 2010? Hivi vyeo vya Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wabunge wa Viti Maalum na wa kuteuliwa, nk vifutwe!

Pia tulipendekeza kupunguzwa kwa mamlaka ya Rais katika uteuzi, maamuzi,nk! Lakini mpaka leo hawa Ccm wanaendelea tu kutuchezea mchezo wa paka na panya! Wazalendo wenzangu wa nchi hii mnaochukizwa na namma Serikali ya ccm inavyo iongoza nchi yetu, tuwafanye nini hawa MCHWA?
Kihongosi kaenda IRAMBA broo..!!

#YNWA
 
Lengai Ole Sabaya Hai, Richard Kasesera Iringa, hawa ni kwa uchache tu. Na kwa sababu tu ya umaarufu wao.

Ila Watanzania tuamke kutoka usingizi! Tunashindwaje kuidai Katiba yetu tuliyo itolea maoni mwanzoni mwa mwaka 2010? Hivi vyeo vya Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Wabunge wa Viti Maalum na wa kuteuliwa, nk tulipendekeza vifutwe! Maana havina umuhimu kivile! Vinatolewa kwa kujuana na kwa misingi ya uccm, na siyo ubora wa mtu.

Pia tulipendekeza kupunguzwa kwa mamlaka ya Rais katika uteuzi, maamuzi,nk! Lakini mpaka leo hawa Ccm wanaendelea tu kutuchezea mchezo wa paka na panya! Wazalendo wenzangu wa nchi hii mnaochukizwa na namma Serikali ya ccm inavyo iongoza nchi yetu, tuwafanye nini hawa MCHWA?
Hakuna anaekubali kupunguziwa power yeye akiwa dereva. Bulembo amepozwa kwa bint kuukwa UDC
 
Msaada aliotoa Mungu ule usiku samia anatangaza kifo ulikuwa mkubwa sana. Hata sasa bado ameshikilia usukani.
Hahahaha watu mna maneno aisee[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom