Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

Ntulunga,

Maneno hayahaya unayarudia kila THREAD 🤣🤣🤣

Inaonekana UTEUZI aliofanya Amiri Jeshi Wa Nchi UMEKUUMA SANA....pole mzee....

Endelea kuyarudia kila THREAD ha ha ha ha

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
 
Maneno hayahaya unayarudia kila THREAD [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Inaonekana UTEUZI aliofanya Amiri Jeshi Wa Nchi UMEKUUMA SANA....pole mzee....

Endelea kuyarudia kila THREAD ha ha ha ha

#KaziInaendelea
#StaunchSupporterOfSSH
#DieHardFanOfCCM
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamati za ulinzi na usalama.
 
Ni easy tu mkuu ,mkeka wote umetoka,naam pdf ni kubwa kidogo ni page nane tu,wataalamu wa excel watatusaidia kuyaweka ya uteuzi before and after....Majina Mapya yote inawakilisha walioondoka....Ukiona DC mpya ambaye awali alikuwa benchi basi ni idadi hiyo hiyo waliopigwa chini.
 
Irina kulikuwa na mwanamama mmja dc alikuwa na majibu ya ovyo,dharau vp kapona naye
Maana alikuwa anajiona cheo hicho kama atakaa milele

Ova
 
Hebu pitia hapo [emoji116][emoji116]kidogo
IMG-20210620-WA0014.jpg
IMG-20210620-WA0009.jpg
IMG-20210620-WA0008.jpg
IMG-20210620-WA0007.jpg
IMG-20210620-WA0012.jpg
IMG-20210620-WA0011.jpg
IMG-20210620-WA0010.jpg
IMG-20210620-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom