Naombeni orodha ya waliotemwa nafasi za Ukuu wa Wilaya

Mimi Kasesera ndiye nimemuonea huruma siyo kwa juhudi zile hadi zile na maigizo
Maskini na mara ya mwisho, alikwenda Star TV kufanya'promo' kama ile ya 7baya kule Clouds. Nampongeza lakini kwa 'kurusha taulo ulingoni' kukubali yaishe, na kuomba msamaha kwa wote aliowakwaza ktk kipindi chake cha uongozi.
 
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu

Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..

Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..

Mwenye nayo please naomba iweke hapa

=====
Mbona yule alietolewa Uvccm kule Iringa akapewa ukuu wa wilaya Arusha umemsahau?
 
Komanya kitwala - Tabora
 
Huyu namba 16 ni yule aliyetolewa mfano PM kwa kubadili madereva?
 
Irina kulikuwa na mwanamama mmja dc alikuwa na majibu ya ovyo,dharau vp kapona naye
Maana alikuwa anajiona cheo hicho kama atakaa milele

Ova
Huyo mama wa kirangi ana roho mbaya Sana alifunga adi duka na kuwafukuza nduguze kisa amekuwa na cheo mpuuzi sanaa.
 
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu

Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..

Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..

Mwenye nayo please naomba iweke hapa

=====
Huyo namba kumi alistahili pia achunguzwe kwa makosa ya jinai..
Ameshiriki makandkando mengi sana.
Ni juzi tuu kamteka mtu na kumpeleka Rorya kwa kisingizio cha kumtukana.
Hao ndio polisi wa Siro wanao tumiwa na wana siasa.
Ifike mahali sasa Igp aone madhaifu yake na jeshi lake zima la polisi.
Asante Mama yetu mpendwa kwa kuto yafumbia macho haya mambo ya hovyo.
Sasa geukia polisi anza na bosi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…