N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Jun 21, 2021 #81 Yule wa Tanganyika jamaa mwembamba fulani hivi, nafikiri yupo vizuri labda atapangiwa kazi nyingine.
las Casas JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 575 Reaction score 720 Jun 21, 2021 #82 The Boss said: Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa ===== Click to expand... Mimi pia nimetemwa nasubiri UDAS
The Boss said: Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione.. Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'.. Mwenye nayo please naomba iweke hapa ===== Click to expand... Mimi pia nimetemwa nasubiri UDAS
nizakale JF-Expert Member Joined Oct 23, 2019 Posts 4,035 Reaction score 2,938 Jun 22, 2021 #83 Yupo Ikungi UPOPO said: Jery Muro wa arumeru sijamwona jamani naue katemwa Click to expand...