Naombeni ramani nzuri ya ujenzi kiwanja cha 400 SQR Meter

ingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
 

Attachments

  • Screenshot_20220911-222835.png
    245.2 KB · Views: 76
  • Screenshot_20220911-222806.png
    187.5 KB · Views: 80
Hivi ni Kwa nini mnadharau taaluma za watu?
 
Kwa hiyo wewe Mr Director utaichukua hii ukaipaste kwenye kiwanja chako? [emoji23][emoji23]

Shuleni mlienda kufanya nini nyie?
 
Hio unayoidharau ni taaluma ya watu, kama mambo si mazuri kwa upande wako. Download Ramani jenga, wengine hutaka Ramani kwa mapendekzo yake na culture ya ki Tanzania, sio Ramani za wazungu zenye shape ya box.
 
Asante sana mkuu, kumbe hawa viumbe huja kuchota huku. Kwanza kwann ununue ramani ya nyumba ya vyumba viwili au vitatu..? It is not fair kabisa.
 
Kwa hiyo wewe Mr Director utaichukua hii ukaipaste kwenye kiwanja chako? [emoji23][emoji23]

Shuleni mlienda kufanya nini nyie?
Unajiita mtaalam unashindwa kusoma maelezo mepesi niliyo yaeleza hapo... 😂😅 tatzo lenu mnadhan dunia imesimama, mafunzo ya kurusha ndege yapo Google, sembuse ramani za nyumba..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…