Ramah msemo
New Member
- Jun 11, 2019
- 3
- 2
Habarini wakuu,
Ramani nzuri ya kiwanja cha 400 SQR Meter msaada wenu tafadhali
Ramani nzuri ya kiwanja cha 400 SQR Meter msaada wenu tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna msaada, ramani zinauzwa na wenye fani yao.Habarini wakuu,
Ramani nzuri ya kiwanja cha 400sqr meter msaada wenu tafadhali
Small house plans.Unaandikaje ili kuzipata ramani maana Mimi kila nikigugu yanakuja mavitu nisiyoelewa
Aaargggh! unajua Tofaut kati ya Rman na Picha za 3D za nyumba??Karibu nikusaidie. MkuuView attachment 2351428View attachment 2351442
Hiy sq 400 ni ngap kwa ngap (20×20), (25×16), (400×1), (100×4), (80×5), (40×10) n.k lazima ma architecture wajue eneo lako limekaaje ndo watajua mchoro ukae vpHabarini wakuu,
Ramani nzuri ya kiwanja cha 400sqr meter msaada wenu tafadhali
Hivi ni Kwa nini mnadharau taaluma za watu?ingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
Kwa hiyo wewe Mr Director utaichukua hii ukaipaste kwenye kiwanja chako? [emoji23][emoji23]ingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
Walienda kusomea ujinga, halafu muulize anajuwa hata BOQ ni nini?Kwa hiyo wewe Mr Director utaichukua hii ukaipaste kwenye kiwanja chako? [emoji23][emoji23]
Shuleni mlienda kufanya nini nyie?
Hio unayoidharau ni taaluma ya watu, kama mambo si mazuri kwa upande wako. Download Ramani jenga, wengine hutaka Ramani kwa mapendekzo yake na culture ya ki Tanzania, sio Ramani za wazungu zenye shape ya box.ingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
Asante sana mkuu, kumbe hawa viumbe huja kuchota huku. Kwanza kwann ununue ramani ya nyumba ya vyumba viwili au vitatu..? It is not fair kabisa.ingia ( www.pinterest.com ) utakuta kila aina ya ramani unayoitaka wewe duniani na Architecture wameweka na vipimo kabisa... Kazi yako ni ku download... Hawa Architectures uchwara unao waona mjini wana download ktk hio website na kuwauzia watu kwa elfu50 hadi laki1... Nime attach sample japo nime screenshot hazitaonekana vzuri...
Niacheni nicheke nizimie nimeipenda hii 🤣Hiy sq 400 ni ngap kwa ngap (20×20), (25×16), (400×1), (100×4), (80×5), (40×10) n.k lazima ma architecture wajue eneo lako limekaaje ndo watajua mchoro ukae vp
Harafu unakuta kiwanja chako kina slope na ramani za kwenye mtandao hazina features hizo! Hapo ndo utajiona Fa.. !Asante sana mkuu, kumbe hawa viumbe huja kuchota huku. Kwanza kwann ununue ramani ya nyumba ya vyumba viwili au vitatu..? It is not fair kabisa.
Hawa si ndio kizazi kinachoamini hadi pesa unaweza kudownload mtandaoni? Kizazi cha hovyo sana.Harafu unakuta kiwanja chako kina slope na ramani za kwenye mtandao hazina features hizo! Hapo ndo utajiona Fa.. !
Unajiita mtaalam unashindwa kusoma maelezo mepesi niliyo yaeleza hapo... 😂😅 tatzo lenu mnadhan dunia imesimama, mafunzo ya kurusha ndege yapo Google, sembuse ramani za nyumba..?Kwa hiyo wewe Mr Director utaichukua hii ukaipaste kwenye kiwanja chako? [emoji23][emoji23]
Shuleni mlienda kufanya nini nyie?
Hahahahah watakuja kukuponda, maana wanadhan bila wao maisha hayaendi, hawajui dunia ipo mbele ya wakatAsante sana mkuu, kumbe hawa viumbe huja kuchota huku. Kwanza kwann ununue ramani ya nyumba ya vyumba viwili au vitatu..? It is not fair kabisa.
Hiyo ni kazi ya fundi... Slope ya kiwanja haibadiri ramani ya nyumbaHarafu unakuta kiwanja chako kina slope na ramani za kwenye mtandao hazina features hizo! Hapo ndo utajiona Fa.. !