Naombeni ridhaa yenu

Naombeni ridhaa yenu

Nilikuwa najiuliza...umewakosea nini hawa mods hadi wakutendee hivi.
cc niah
Sijawakosea ila nikipost naona wanasoma wanaona pumba ila naona tunasoma pumba kibao humu. Kuna wakati waliziunganisha na post nyingine nikaona basi. After all am not very much creative in writing but I can comment. Thanks.
 
Nimekupata vyema, ila inaweza pia kuwa ni tatizo la kiufundi, ubinadamu au unaandika complicated na sensitive threads hadi mods wanachanganyikiwa hawajui waiweke wapi wanaishia kuiunganisha kimakosa au kutoipost kabisa...keep on writing, wishing to read your threads one day.
 
I write simple topics.
 
Back
Top Bottom