Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawakosea ila nikipost naona wanasoma wanaona pumba ila naona tunasoma pumba kibao humu. Kuna wakati waliziunganisha na post nyingine nikaona basi. After all am not very much creative in writing but I can comment. Thanks.Nilikuwa najiuliza...umewakosea nini hawa mods hadi wakutendee hivi.
cc niah
Nimekupata vyema, ila inaweza pia kuwa ni tatizo la kiufundi, ubinadamu au unaandika complicated na sensitive threads hadi mods wanachanganyikiwa hawajui waiweke wapi wanaishia kuiunganisha kimakosa au kutoipost kabisa...keep on writing, wishing to read your threads one day.Sijawakosea ila nikipost naona wanasoma wanaona pumba ila naona tunasoma pumba kibao humu. Kuna wakati waliziunganisha na post nyingine nikaona basi. After all am not very much creative in writing but I can comment. Thanks.
I write simple topics.Nimekupata vyema, ila inaweza pia kuwa ni tatizo la kiufundi, ubinadamu au unaandika complicated na sensitive threads hadi mods wanachanganyikiwa hawajui waiweke wapi wanaishia kuiunganisha kimakosa au kutoipost kabisa...keep on writing, wishing to read your threads one day.