Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je lipo neno moja la kiswahili la tafisiri ya stationery? Nimejaribu google translate sikupata.
Zipo kwenye uchochoro uliyo pembeni ya ukuta wa New Afrika hoteli kama unatokea mnara wa askari.Yani nifunge safari mpaka bakita kwa ajili ya kaneno kamoja tu Lol... ofisi zao ziko wapi kwani.
asante kwa ushauri hata hivyo.
Kwani inauza vifaa vya shule tu?kwangu mm:
duka la vifaa vya kishule
Ankara nadahni inahusiana na uhasibu nadhani, ankara yaweza kuwa transaction labda, not sure though.
Ipo kwenye Adroid phone,ingia ANDROID market,bonyeza free download, type swahili dictionary.Hivi kuna mahali popote kuna kamusi ya kiswahili kwenye mtandao? au bado tuko analojia?
Wakuu hakuna neno moja?