Prince Rogers temu
New Member
- Feb 25, 2013
- 1
- 0
Remain the sm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SARIJALA ndo jibu sahihi
Hivi ni SARIJALA AU SHAJALA?
Mara kadhaa nimewasikia watu mbali, hasa wahamasishaji wa kiswahili wakisema kiswahili kinajitosheleza, mpaka hapa naanza kupata shaka kama ni kweli.
Je lipo neno moja la kiswahili la tafsiri ya stationery? Nimejaribu google translate sikupata.
Richard unachanganya STATIONERY na STATIONARY, hayo ni maneno mawili hayafanani, wewe umetoa maana ya stationary ila mleta mada alitaka stationeryMkuu,
Tafsiri neno Stationery kwa Kiswahili ni kusimama.
Ni kitenzi au "verb" kinachoashiria tendo la kusimama iwe kitu, mtu watu au hata motokaa.
Kwa mfano twaweza kusema, "gari ile naliona limesimama mahala pale likisubiri kujaza mafuta", au "lile basi limesimama kituoni kuchukua abiria", au "mkonga ule wa simu umesimaishwa ili kutandaza nyaya za simu".
Hivyo basi, neno "stationery" linatumika mahala pasipo ingawa lengo lake ni moja tu kumaanisha kwamba mjasiri mali Fulani amesimamisha kaduka kake mahala ili kuuza vifaa voye vya ofisi.
Pia inaweza kumaanisha kwamba mjasiri mali mwingine amefungua ofisi ndogo ambayo inashughulika na au kutoa huduma ya mambo yote ya kiofisi na akaamua kupaita "A&B stationery services".
Kwahio inategemea matumizi ya hili neno yanakusudia kutoa maana gani kwa mtumiaji na wapita njia.
Nafikiri utakuwa umenipatapata hapo.
Richard unachanganya STATIONERY na STATIONARY, hayo ni maneno mawili hayafanani, wewe umetoa maana ya stationary ila mleta mada alitaka stationery
Je lipo neno moja la kiswahili la tafsiri ya stationery? Nimejaribu google translate sikupata.
Basi kama ni anataka maana ya neno Stationery maana yake ni vifaa vya kiofisi iwe kalamu, karatasi, bahasha na kadhalika.
Na neno stationary ni kusimama na kama nilivyoeleza.
Maneno haya yanaweza kutumika kwa pamoja kwa nyakati tofauti kwa mfano "wanafunzi waliambiwa waendelee kusimama mbele ya jengo la utawala hadi watakapoambiwa vingine" hapa hili neno kwa kiingereza litakuwa "stationary".
Mfano wa neno "stationery" ni "tuna kijana wetu hapa ndio anahusika na kuagiza vifaa vya kiofisi".
Haya mkuu tuendelee kuelimishana.
Mkuu,neno lenyewe linaandikwa "stationary" na si "stationery".
Tafsiri neno Stationary kwa Kiswahili ni kusimama.
Ni kitenzi au "verb" kinachoashiria tendo la kusimama iwe kitu, mtu watu au hata motokaa.
Kwa mfano twaweza kusema, "gari ile naliona limesimama mahala pale likisubiri kujaza mafuta", au "lile basi limesimama kituoni kuchukua abiria", au "mkonga ule wa simu umesimaishwa ili kutandaza nyaya za simu".
Hivyo basi, neno "stationary" linatumika mahala pasipo ingawa lengo lake ni moja tu kumaanisha kwamba mjasiri mali fulani amesimamisha kaduka kake mahala ili kuuza vifaa vyote vya kiofisi.
Pia inaweza kumaanisha kwamba mjasiri mali mwingine amefungua ofisi ndogo ambayo inashughulika na au kutoa huduma ya mambo yote ya kiofisi na akaamua kupaita "A&B stationary services".
Kwahio inategemea matumizi ya hili neno yanakusudia kutoa maana gani kwa mtumiaji na wapita njia.
Nafikiri utakuwa umenipatapata hapo.
Hakuna neno moja lenye maana ya stationery, ni kama vile pharmacy sisi tunasema duka la madawa, kwaio na hii tuseme duka la vifaa vya ofisini