Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:
Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!
Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!
Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?
Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?
Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!
Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!
Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!
Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!