Naombeni taratibu za rufaa Wizara ya Elimu, mwanangu kapata division three wakati hana uwezo huo

Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:

Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!

Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!

Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?

Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?

Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!

Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!

Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!

Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!
Mpe mwanao mchawi
 
Mwanao yupo vizuri darasani ila wewe mzazi wake miyeyusho......alikuwa anajifanya hapendi shule baada ya kukuona haupo serious nae na ndio maana alikuwa anajifanya hajui hata national flag
 
Nipe namba yake ya mtihani nibadilishe matokeo yake apate DIV 4 ya 50.
Zero+
Au ni binti unataka umuoze chap??

Naomba namba ya simu ya mama wa huyo mwanao kuna jambo nataka kumwambia.
 
Mwanao yupo vizuri darasani ila wewe mzazi wake miyeyusho......alikuwa anajifanya hapendi shule baada ya kukuona haupo serious nae na ndio maana alikuwa anajifanya hajui hata national flag
Acha kujidai mjuaji ..huyu ni mwanngu namjua ...hakuna mzazi asiyependa mwanae afaulu lakini kuna matokeo mengine yanashitua kabisa
 
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:

Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!

Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!

Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?

Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?

Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!

Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!

Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!

Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!
Nini three, wa kwangu kapata one ya misonge tupu wakati toka anaanza form 1 , hajawi kupata maksi zaidi ya 20 kwa somo lolote
 
h
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:

Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!

Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!

Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?

Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?

Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!

Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!

Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!

Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!
[/QUOTEhahah kata rufaa Baraza la mtihani ha
 
Polisi akinywa beer.jpg
 
Una ujumbe lakini chai pamoja na kuwekwa mchaichai, karafuu na sukari, chumvi imezidi!!
 
Back
Top Bottom