Naombeni taratibu za rufaa Wizara ya Elimu, mwanangu kapata division three wakati hana uwezo huo

Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:

Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!

Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!

Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?

Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?

Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!

Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!

Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!

Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!
Kama mwanao yupo hivyo basi wewe mzazi ndio mbumbumbu kabisa. Yaani ulifahamu mwanao hata madaftari hana na hata kuandika hajui lakini hukufanya jitihada zozote? Haingii akilini. Halafu unajifanya kutoa ushauri? Nani akusikilize?
 
Sasa si afadhali huyo wa kwako walau anajua kusoma na kuandika unaweza sema aliangazilia kwa mwenzake

Kuna darasa la saba kipindi fulani walifaulu na kumbe hawajui kusoma wala kuandika

Shukuru kwa kilo expert
 
Kama mwanao yupo hivyo basi wewe mzazi ndio mbumbumbu kabisa. Yaani ulifahamu mwanao hata madaftari hana na hata kuandika hajui lakini hukufanya jitihada zozote? Haingii akilini. Halafu unajifanya kutoa ushauri? Nani akusikilize?
Bro kama huna mtoto kaa kimya usijidai mjuaji wakati wa kwako umepigia nyeto!

Mtoto hadi bodi ya shule walimshindwa sasa unajidai unawajua watoto kweli wewe
 
ufaulu wa miaka hii ni tofauti na ufaulu wa zamani ,nafikiri labda kuna vigezo hutumika tofauti na zamani.
 
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:

Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!

Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!

Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?

Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?

Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!

Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!

Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!

Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!
Naomba uzame PM utaratibu naujua Ila kikubwa nataka tuungane japo Mimi wa kwangu amepata sufuri na mapembe yake Ila kiinglishi alikuwa ni Moto wa kuotea mbali ambavyo naamini wangu ilibidi ndiyo apate hiyo three ya mwanao alafu mwanao ale sufuri ya mwanangu
 
Ngoja nkuibie siri
(ikifika mwaka mmoja kabla uchaguzi mfano 2004/2005, 2009/2010,2014/2015,2019/2020,2024/2025

Kutokana uchaguzi jaribu kuchunguza wanafunzi wengi huwa wanafaulu
(formula ya usahihishaji inayotumika
Ni "mwanafunzi anauelewa japo hajapatia jibu"
Pili kuna formula za standardization labda walimu wa nakubali ana wanaongeza marks 10 10 kutokana ufaulu kwa average ya wanafunzi niishie hapa.
 
Amepata sifuri yenye mapembe!!
 
Ooh
 
Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!
Mkuu, asante sana kwa kunifanya nicheke kwa sauti. Natumaini utafanikiwa kupata tararibu hizo za kukata rufaa.
 
Mwisho wa siku fahamu kuwa mwaka huu ,tutakuwa na uchaguzi.
 
Acha bangi mkuu,,Kama alikuwa anaenda darasani na daftari moja darasani na amefaulu ujue ni jiniazi huyo ,,baraza kufanya nini kila mtu anabahati yake au wewe ndo wale wenye tabia kutwa kuwatamkia wanao maswala ya laana kwamba huyu hamna kitu sijui Kama atafaulu,Sasa amefaulu unabaki kutumbua mimacho kwa hasira,,,acha chuki kwa mwanao kila mtu ananjia zake za kufanikiwa na kufaulu sio kujua sanaa Bali nikuotea tu mtihani au kubahatisha wenye akili nyingi hawafaulugi madarasani Bali wanatoboaga kwa mambo ya ajabu na maisha,,fatilia history za kina Nikolai Tesla,James watt n.k
 
Katafute mitihani umpatie home uone uwezo wake

Acha wivu kwa mtoto wako
 
Mwanangu hajui hata National Flag ni nini, hajui hata what is civics:

Hajui hata fasihi ni kitu gani! Haelewi hata simulitenious equation inafanywaje nikiwa kama mzazi mzalendo ni vyema nikakata rufaa niambiwe kaipataje hiyo division three!

Kijana wangu tangu form one alikuwa na kadaftali kamoja kwa ajili ya masomo yote!

Hadi anamaliza hajui hata barua inaandikwaje. Sasa kafauluje?

Ifahamike mtoto mwenye division 3 anaweza kwenda kusomea ualimu au polisi je huko badae tunaandaa jamii ya namna gani?

Ujue hata chanzo cha wizi wakati mwingine sisi wazazi au wapenzi tunachangia!

Kwa mfano mzazi unajua kabisa kazi ya mwanao anabeba mizigo kariakoo! Halafu kila siku anakuletea zawadi ya simu then wewe unachekelea wakati malipo ya posho ya mwanao unayajua hayamtoshi hata kula yake!

Kama mzazi ukiendelea kuchrkelea ipo siku utamkuta kituo cha polisi au kachomwa moto kwa wizi uliouendekeza wewe mwenyewe mzazi/Mprnzi kwa kupokea zawadi bila kuhoji!

Naomba taratibu za kukata rufaa ili kuponya kizazi cha elimu ya Tanzania!
Mkuu wewe Mzalendo wa kweli
Wanasheria wapo watakupa utaratibu
 
Nyie ndio wazazi hamuweki bidii kulea, kuwajua na kuwa fahamu watoto wenu, halafu wakikua wakawatema mnaanza kulalamika watoto hawapendi wazazi wao. Kisa mambo mnaona madogo ila kwa mtoto mkubwa sana yana mchoma.

Kuna njia nyingi ungefanya kumsaidia na kuweka bond nae pia kuzaa mengi mazuri kwake, kuliko hatua hii unataka kuchukua.
 
Back
Top Bottom