Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muda wa skingap?tafuta tunda la mkokomanga chemsha kunywa dawa nzuri sana chemsha matunda 3 kny lita moja na robo ndani ya dk kumi. Acha maji yapoe then kunywa mara tatu kwa siku. Ukiweza changanya na majani ya mpera na maparachichi kiganja kimoja wakati wa kuchemsha.
Mboga yako iwe matembele kwa ajili kuongeza damu maana damu lazima iishe nyingi.
Angalia uzito wako na mazoezi fanya ya
kutosha ili uweze kunywa maji mkwa
Mhh! Uyu jamaa Kila koment anatajwa adi naona lbda scamme
InawezekanaMhh! Uyu jamaa Kila koment anatajwa adi naona lbda scammer
hiyo dawa ni wiki moja tu na kama figo ni chafu na una gout utakuja kunishukuruKwa muda wa skingap?
hapana kwa kweliNikiyacjemsha Leo ayo matatu naeza nkayatumia kuchemsha Tena ?
Niko Moshi. Kuna jamaa anatibu na amemsaidia kaka yangu aliyekuwa anasumbuliwa na bawasiri kwa muda mrefu na Sasa amepona Alhamdu lillaah. Ila jipange kwa gharama na muda kwa kuwa dozi ni kama ya mwezi mmoja hivi na bei ni laki lasoro kidogo na pia ukianza kitumia dawa hakikisha huna mambo mengi kwa kuwa mwanzoni ukianza kutumia dawa utaharisha sana hadi unyong'onyee kwa hiyo ni muhimu kuwa na muda wa kupumzika nyumbani kama siku Tano hadi wiki ndipo mwili urudi katika hali ya kawaida. DAWA NI YA KIENYEJI ILA INATIBU .Nasumbuliwa na bawasili ya ndani Kwa miaka 4 nshakula Kila aina ya dawa naombeni dawa ya akika jamani