Mimi kwakweli pia naogopa sana ghorofani yaani ctakag kuchungulia dirishani, kidude chetu cha kuwekea luku kimeharbika kwahiyo kuna ngaz tunaingiza directSio wewe Tu.
Mimi hata kupanda gorofani naogopa.
Haya ndo madhara ya kutowazoesha watoto kupanda ndege.Muda wote anawaza Gravitational force 9.8Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!
Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?
Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?
Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!
Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,
Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!
Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
HahahahMimi kwakweli pia naogopa sana ghorofani yaani ctakag kuchungulia dirishani, kidude chetu cha kuwekea luku kimeharbika kwahiyo kuna ngaz tunaingiza direct
pale juu kwenye luku, aisee ikitokea niko peke angu ntahiyar kulala giza kuliko nipande ngazi, roho hua inanienda mbio nahis mbao zile zitavunjika basi naishia njiani.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
KuwazoeshajeHaya ndo madhara ya kutowazoesha watoto kupanda ndege.Muda wote anawaza Gravitational force 9.8
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!
Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?
Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?
Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!
Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,
Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!
Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
Hiyo lift huwa nawaza kamba zikikatika tutashuka kama jiwe puuu!
Hapo wala siyo phobia bali uhalisia tu, ndege ikiwa inabadilisha height iwe kupanda au kushuka ni tabu tupu, saa nyingine ukiwa dirishani mawingu unayaona chini ya ndege, afu piga hesabu ukiwa chini mawingu unayaona umbali gani, ukifikiria ajali ikitokea huko survival margin unaona haifiki hata asilimia moja.Kamuone psychiatrist doctor atakuhudumia na utapona.
Utatakiwa uzingatie therapy na follow up na akiona vyema ataku prescribes pia.
Mwenyewe sizoei kupanda Panton,nawaza kuzama tu. Sijui siku nikipanda Meli itakuaje!?Mbona sizoei?
Kabisa mkuu kwahiyo siyo ushambaHapo wala siyo phobia bali uhalisia tu, ndege ikiwa inabadilisha height iwe kupanda au kushuka ni tabu tupu, saa nyingine ukiwa dirishani mawingu unayaona chini ya ndege, afu piga hesabu ukiwa chini mawingu unayaona umbali gani, ukifikiria ajali ikitokea huko survival margin unaona haifiki hata asilimia moja.
Usafiri wa mguu ndio Usafiri bora kabisa shida ni una limitation tu
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Mbona sizoei?
Niliwahi kupanda mtumbwi siku hiyo yaani maji unayagusa na kidole niliwaza sana halafu wengine wapo busy na sigara tu dadaddekiMwenyewe sizoei kupanda Panton,nawaza kuzama tu. Sijui siku nikipanda Meli itakuaje!?
Mara kibao tu lakini sizoei mkuuNi kwa sababu ulipanda ndege mara moja tu.
Hakuna ushamba hapo! Btw, unachungulia dirishani wakati unatarajia kuona nini?!Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!
Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Niwe nafumba macho auHakuna ushamba hapo! Btw, unachungulia dirishani wakati unatarajia kuona nini?!
Dawa ni ndogo... acha mambo ya kutamani kwenda kusimulia washikaji uliyoyaona angani!
Miongoni mwa watu mliokosa raha ya adventure ni nyie mnaoogopa usafiri wa maji! Unakuta eti mtu anataka enda Zanzibar kwa ndege... ili iwe nini!!!Mwenyewe sizoei kupanda Panton,nawaza kuzama tu. Sijui siku nikipanda Meli itakuaje!?
Usiwe unachungulia dirishani... simple like that!Niwe nafumba macho au
Asante kwa ushauri mkuuUsiwe unachungulia dirishani... simple like that!