Naombeni tiba ya kisaikolojia: Mwenzenu nikipanda ndege huwa nawaza hatari tupu

Sio wewe Tu.
Mimi hata kupanda gorofani naogopa.
Mimi kwakweli pia naogopa sana ghorofani yaani ctakag kuchungulia dirishani, kidude chetu cha kuwekea luku kimeharbika kwahiyo kuna ngaz tunaingiza direct
pale juu kwenye luku, aisee ikitokea niko peke angu ntahiyar kulala giza kuliko nipande ngazi, roho hua inanienda mbio nahis mbao zile zitavunjika basi naishia njiani.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!

Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!

Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?

Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?

Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!

Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,

Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!

Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman
Haya ndo madhara ya kutowazoesha watoto kupanda ndege.Muda wote anawaza Gravitational force 9.8
 
Ili woga ukutoke vaa parachute sikumoja uelee hewani kama samaki anavyoelea majini.
Raha sana
Ila woga wako sio wakutisha sana manake unachungulia dirishani,huwa unatoa kichwa nje kama konda wa daladala au!!! Hapo hujatuweka wazi
 
Mimi kwakweli pia naogopa sana ghorofani yaani ctakag kuchungulia dirishani, kidude chetu cha kuwekea luku kimeharbika kwahiyo kuna ngaz tunaingiza direct
pale juu kwenye luku, aisee ikitokea niko peke angu ntahiyar kulala giza kuliko nipande ngazi, roho hua inanienda mbio nahis mbao zile zitavunjika basi naishia njiani.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hahahah
 
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!

Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!

Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema nini, yaani itokee mbungi huku juu hivi vikarachuti ambavyo hata cjawahi kuvivaa ndo nivae wakati wa hatari vitasaidia kweli?

Kwanza huko angani kuelea tu ule upepo ni mtihani mkubwa KM 5 juu angani hadi ufike chini kuna mtu hapo? Balaa ufikie juu ya nguzo za umeme itakuwaje!?

Kiufupi huwa nateseka sana nikipanda ndege wakati mwingine huwa najuta kwanini nimeipanda nakuacha bus!

Kuna wakati inapokaribia kutua rubani huzima AC kusubiri kuruhusiwa kutua, basi hata kupumua huwa naona kama oksjen inapungua,

Nyie mnawezaje wenzangu! Tena comfortable kabisa huwa nawaona mnaneng'eneka kwenda hadi chooni!

Mnawezaje wenzangu? Samahan kwa hili jaman

Mkuu, wewe ni wa dar???? Mbona mnatuaibisha jamani!!!!!
 
Hata sijui Nina matatizo gani.yaani nikiona watu wapo magorofani pale kariakoo uwa nawaza Mambo mengi Sana .
Yaani nahisi yanaweza kudondoka muda wowote
Hiyo lift huwa nawaza kamba zikikatika tutashuka kama jiwe puuu!
 
Kamuone psychiatrist doctor atakuhudumia na utapona.

Utatakiwa uzingatie therapy na follow up na akiona vyema ataku prescribes pia.
Hapo wala siyo phobia bali uhalisia tu, ndege ikiwa inabadilisha height iwe kupanda au kushuka ni tabu tupu, saa nyingine ukiwa dirishani mawingu unayaona chini ya ndege, afu piga hesabu ukiwa chini mawingu unayaona umbali gani, ukifikiria ajali ikitokea huko survival margin unaona haifiki hata asilimia moja.
Usafiri wa mguu ndio Usafiri bora kabisa shida ni una limitation tu

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu kwahiyo siyo ushamba
 
Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu!

Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa!
Hakuna ushamba hapo! Btw, unachungulia dirishani wakati unatarajia kuona nini?!

Dawa ni ndogo... acha mambo ya kutamani kwenda kusimulia washikaji uliyoyaona angani!
 
Niwe nafumba macho au
 
Mwenyewe sizoei kupanda Panton,nawaza kuzama tu. Sijui siku nikipanda Meli itakuaje!?
Miongoni mwa watu mliokosa raha ya adventure ni nyie mnaoogopa usafiri wa maji! Unakuta eti mtu anataka enda Zanzibar kwa ndege... ili iwe nini!!!

Kwanza meli haina uoga wowote... labda ungesema boti!!

Na kama unaenda mahali kama ZNZ, uta-ejoy zaidi ukisafiri kwa boti kuliko ukisafiri kwa meli! Kwanza meli zina ujinga wa kusafiri usiku utafikiri zimebeba wachawi!
 
Back
Top Bottom