naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 791
- 1,074
Mimi kwakweli pia naogopa sana ghorofani yaani ctakag kuchungulia dirishani, kidude chetu cha kuwekea luku kimeharbika kwahiyo kuna ngaz tunaingiza directSio wewe Tu.
Mimi hata kupanda gorofani naogopa.
pale juu kwenye luku, aisee ikitokea niko peke angu ntahiyar kulala giza kuliko nipande ngazi, roho hua inanienda mbio nahis mbao zile zitavunjika basi naishia njiani.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app