tradewithUrio
New Member
- Jun 2, 2026
- 1
- 5
Biashara inategemea na eneo ulipo, na tonne za gari, ama ujazo. Pia inategemea na bei uliyonunulia gari, na roho yako kama ni nzuri ama ya kikatili.Naombeni ushauri kwa wawekezaji kwenye hii sekta mikataba kwa siku dereva analeta kiasi gani kwa boss kwa gari ambayo ni mpya ,mikataba inaenda kwa miaka mingapi maintainance nzima za magari na mfumo wa uendeshaji kwa biashara hii ya magari ya mchanga ,Dump Trucks !!
Anza kufatilia eneo unalotaka gari ifanye kazi utapata majibu mazuri. Huu unaweza kuwa ushauri mzuri.Naombeni ushauri kwa wawekezaji kwenye hii sekta mikataba kwa siku dereva analeta kiasi gani kwa boss kwa gari ambayo ni mpya ,mikataba inaenda kwa miaka mingapi maintainance nzima za magari na mfumo wa uendeshaji kwa biashara hii ya magari ya mchanga ,Dump Trucks !!
Haya madude kama una roho ndogo nakushauri achana nayo kabisa mkuu, utakuja kufa siku si zako!, tena ukishaingia kwenye biashara ya malori kuwa mshirikina na kutembea unaongea pekeako barabaran wala sio mbali kwa stress zilizopo huko!.Naombeni ushauri kwa wawekezaji kwenye hii sekta mikataba kwa siku dereva analeta kiasi gani kwa boss kwa gari ambayo ni mpya ,mikataba inaenda kwa miaka mingapi maintainance nzima za magari na mfumo wa uendeshaji kwa biashara hii ya magari ya mchanga ,Dump Trucks !!
Jengo uliojenga kwa 150ml,ukakodisha kwa 700,000/- kwa mwezi... 🧠!?..Biashara kichaa investment kubwa sana return ndogo say manunuzi 186mil mapato 550k/day
%Marejesho ya mtaji ni =500k/186mil=0.27% yaani kwa siku una recover 0.27% ya hela uliyoweka, ni hatari, hata 1% haijafika
Nyumba za kupangisha nazo ni biashara miyeyusho tu japo risk ni ndogo ila hilo lori mtaji mkubwa risk kubwa mapato kidogo hatariJengo uliojenga kwa 150ml,ukakodisha kwa 700,000/- kwa mwezi... 🧠!?..
(Maisha yana mapito mengi sana)
Risk ipo wapi na umekata comprehesive insurances?Nyumba za kupangisha nazo ni biashara miyeyusho tu japo risk ni ndogo ila hilo lori mtaji mkubwa risk kubwa mapato kidogo hatari
Unajua kuwa sheria ya mzani hairuhusu hizo gari kupita barabara ya lami ikiwa na mzigo, ukikamatwa gari unaweza iacha-hiyo ndo risk moja wapoRisk ipo wapi na umekata comprehesive insurances?