mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Biashara ngumu Sana hii, pesa unayonunulia gari na return aisee ni ujinga, hizi biashara nimefanya na nafanya,Sasa nakupa akili Kwanza achana na hizo gari ulizotaja halo juu kama unataka kufanya biashara nyingi hazijui kuvumilia shida, fungua kijiwe Cha tofali na duka hardware, gari ifanye kazi zako , funga GPS na Kuwa mtumwa wa dereva( usimpende kuwasumbua madereva ila monitor Sana mwenendo wao wakiwa na gari je yupo smart ama ) ukimaliza Hilo tafta Fundi magari atakayeijua gari ,Mimi Nina mafundi wangu na gereji ya Kiana , gari ingeloga hata ikiwa congo fundi ataamka ataenda, namanisha Tenga budget ya maintainance