Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Naombeni ushauri boyfriend wangu ana manyoya mengi

Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Inaelekea bado evolution haijakamilika kwake....si unajua binadamu tuna asili ya nyani?
Huyo msela unyani haujamtoka wote....[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli

Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Kama ana manyoya atakuwa ana asili ya popobawa.so take care dada
 
Back
Top Bottom