Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Inaelekea bado evolution haijakamilika kwake....si unajua binadamu tuna asili ya nyani?Ni MWezi sasa tuko ktk mahusiano na huyu kaka ila cha kusikitisha anamanyoya mengi hasa kifuani, miguuni, mikononi, mgongoni hadi kwenye uume, somtymz nakereka kwakweli
Hivi jamani wanaume wote mko hivi?
Huyo msela unyani haujamtoka wote....[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app