Afu shoga mkali kweli sijui ndo tayari hahaha! Mwambie asipanicYaani inasikitisha mpaka leo hujajua kwamba mwenye ukimwi unaweza kumjua kwa njia gani?
Ila nikwambie Vipimo peke yake ndio jibu hapo ukitaka kwa kuwajua nje ya hapo ni ngumu aisee.
Kama unapima na uko safi, basi hata mwenzi wako yuko safi.Mm napima kila baada ya miez 3 mkuu ila huyo mwenzangu ndo hapendi kupima ndo maana nauliza
Mbona una jazba hebu kwanywe chai kwanzaNdio nionyeshe we uloiona
Bila shaka hamjazaa.. is he your suitor or just a....kama ni mumeo beba mimba then ukienda clinic kwa mara ya kwanza utapata jibu!Mm napima kila baada ya miez 3 mkuu ila huyo mwenzangu ndo hapendi kupima ndo maana nauliza
Tuna karibia mwaka , na tunatumia kinga lakn hizi kinga siziamin ndo maana natafuta solution kama mtu mwenyewe hataki kupima naweza mjua kwa njia ganiTangu uwe naye umeshapima katika hiyo interval ya miezi 3? Mna muda gani?
Labda alipotoka kabla ya kufika kwako kunamtisha anahofia kupima.
Unajihisi wewe ni carrier au yeye?
Hahaaa! Unadhani sielewi hata hasira zimetokea wapiAfu shoga mkali kweli sijui ndo tayari hahaha! Mwambie asipanic
Tunatumia kinga dats y simuaminiKama unapima na uko safi, basi hata mwenzi wako yuko safi.
Achana naye hakupendi hiyo, pia si mwaminifu kwako mpo wengi ndo maana anahofia.Tuna karibia mwaka , na tunatumia kinga lakn hizi kinga siziamin ndo maana natafuta solution kama mtu mwenyewe hataki kupima naweza mjua kwa njia gani
Na kwa kupanic kwake huenda hata anachokitaka asikipateMbona mkali kama mgonjwa wa????? tulia acha panic everything gonna be alright!
Ni hivi mtu mwenyewe hataki kupima, na kuna dalili ambazo hazijifichi hizo kila MTU anazijua lkn kuna mwingine ni carrier ndo nataka nijue nitamjuaje huenda ni Carrier japo tunatumia kinga lkn kinga hizi haziaminikiYaani inasikitisha mpaka leo hujajua kwamba mwenye ukimwi unaweza kumjua kwa njia gani?
Ila nikwambie Vipimo peke yake ndio jibu hapo ukitaka kwa kuwajua nje ya hapo ni ngumu aisee.
Ukishajua anao utachukua hatua gani?Tuna karibia mwaka , na tunatumia kinga lakn hizi kinga siziamin ndo maana natafuta solution kama mtu mwenyewe hataki kupima naweza mjua kwa njia gani
Ni hivi mtu mwenyewe hataki kupima, na kuna dalili ambazo hazijifichi hizo kila MTU anazijua lkn kuna mwingine ni carrier ndo nataka nijue nitamjuaje huenda ni Carrier japo tunatumia kinga lkn kinga hizi haziaminiki
Kama hataki kupima wa kazi gani sasa.Ni hivi mtu mwenyewe hataki kupima, na kuna dalili ambazo hazijifichi hizo kila MTU anazijua lkn kuna mwingine ni carrier ndo nataka nijue nitamjuaje huenda ni Carrier japo tunatumia kinga lkn kinga hizi haziaminiki
We mdanganye tu wakati anakwambia wanatumia kinga kila sikuKama unapima na uko safi, basi hata mwenzi wako yuko safi.