Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Kama hataki kupima wa kazi gani sasa.

Pia nionavyo huna msimamo ikiwa kupima hataki hakuna haja hata ya kumpa nafasi ya kutumia hiyo kinga kwani hiyo ndio sababu inayomfanya akatae.

Hebu jikaze mnyime halafu uone akizidi kukataa huna budi kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya afya yako.
Asante kwa ushauri, but anasema huwa anaona hofu akienda kupima akakuta anao hofu yake kwamba atanipoteza hio ndo hofu yake , na hapa alitaka tuanze taratibu za ndoa ndo nikamkomalia bila kupima nothing will push through, I don't understand him
 
Kuna dalili zinaonekana kwa macho Arabian queen na luckyline wamezitaja...naona kuna watu humu mmeanza kumchukulia mleta uzi kama mwathirika,its not fair.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mie I don't mind I can handle the situation as long as Niko safe
 
Afu shoga mkali kweli sijui ndo tayari hahaha! Mwambie asipanic
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mnavojidanganya et kila mtu mkali basi mwathirika acha maisha ya kukalili , and ofcoz mm mkali by nature coz sipendagi dharau
 
Yaani kiukweli sipendi kutumia mpira ndo maana namshawishi akapime ili tukiaminiana tuachane na mipira alaf namwambia sometimes nenda mwenyewe sio lazima uende na mm , na ye huwa anasema et anaogopa kunipoteza kama ikitokea anao

Yaani unakaa na mtu anayeogopa kupima, ana wasiwasi wa kuwa na ukimwi na unaendelea kumpa hiyo nyapu? Eti unajidai kwamba unatumia kondom?

Piga kavu tu, siku hizi ukimwi hauambukizwi kwa ngono.
 
Mbona mkali kama mgonjwa wa????? tulia acha panic everything gonna be alright!
Acha kukalili maisha haya utatoka kapa , na namshukuru mungu kwamba mm napimaga Mara kwa Mara so I don't care what u think ila nachojua watu tunatofautiana uelewa kwahiyo wewe ndo ulivoelewa, na hata ningekuwa ninao naanzaje kukataa wakati nobody knows me in here, anyway tchaoo
 
1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
Sijawahi kumuona dalili hata moja kati ya hizo
 
Bila shaka hamjazaa.. is he your suitor or just a....kama ni mumeo beba mimba then ukienda clinic kwa mara ya kwanza utapata jibu!
Sijajua kama wewe ni ke au me ila asee Nina wasiwasi na uelewa wako, yaani hizo comments za wakuu hujang'amua kitu [emoji12] [emoji12] [emoji12]am sorry for u
 
1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
hizo dalili haziguarantee kwamba mtu ni positive zinaweza kuwa dalili za malaria pia
 
Ana kitambi kwa wanaume na wanawake kua na nundu nyuma iliyo pitiliza
 
Back
Top Bottom