beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #61
Asante kwa ushauri, but anasema huwa anaona hofu akienda kupima akakuta anao hofu yake kwamba atanipoteza hio ndo hofu yake , na hapa alitaka tuanze taratibu za ndoa ndo nikamkomalia bila kupima nothing will push through, I don't understand himKama hataki kupima wa kazi gani sasa.
Pia nionavyo huna msimamo ikiwa kupima hataki hakuna haja hata ya kumpa nafasi ya kutumia hiyo kinga kwani hiyo ndio sababu inayomfanya akatae.
Hebu jikaze mnyime halafu uone akizidi kukataa huna budi kufanya maamuzi magumu kwa ajili ya afya yako.