Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Afu shoga mkali kweli sijui ndo tayari hahaha! Mwambie asipanicYaani inasikitisha mpaka leo hujajua kwamba mwenye ukimwi unaweza kumjua kwa njia gani?
Ila nikwambie Vipimo peke yake ndio jibu hapo ukitaka kwa kuwajua nje ya hapo ni ngumu aisee.