Kumbe una uzoefu nao?Hahaaa! Unadhani mumy ndio wanavyokuwaga hivyo hata simshangai
Atakuua achana naeMm napima kila baada ya miez 3 mkuu ila huyo mwenzangu ndo hapendi kupima ndo maana nauliza
Nenda mkapime akikataa mradhimishe imeshindikana achana naeHatari ya nn
Aiseee I can't tell hii experience HahahahahahaBila shaka hamjazaa.. is he your suitor or just a....kama ni mumeo beba mimba then ukienda clinic kwa mara ya kwanza utapata jibu!
Kweli kabsa kuhusu kuumwa kichwa mara kwa mara1)kua na homa mda wote kufikia mpk kiwango 102 degrees c.
2)uchovu,mwili kuchoka mda wote.
3)kuuma kwa misuli,kupata maumivu ktk tezi mfano kwapa,maeneo ya shingon.n.k
3)kuvimba kwa koo.
4)maumiv ya kichwa mara kwa mara
5)vipele pele ktk mwili,hua vinawasha sn.
6)kuhis kichefchef,kutapika pia kuharisha.
7)kua na kikohozi kikavu
8)kuanza kupungua uzito taratibu.
9)kutokwa na jasho usiku
10)kupata siku mwezi(period)bila mpangilio.
Huyo anachepuka sanaa ndio maana hivyo anaogopa ,wewe hata hauelewi kama unamuamini muombe simu yake ushinde nayo umuangalie ,,kuna jamaa wangu kupma hataki kusikia maana katembeaa na watu sehemu mbaya sana na anaenda kavuTuna karibia mwaka , na tunatumia kinga lakn hizi kinga siziamin ndo maana natafuta solution kama mtu mwenyewe hataki kupima naweza mjua kwa njia gani
Ukimuambia tukapme anaweza kukimbiaaUtando mweupe kwenye ulimi hasa pempeni pembeni,
lakini hawezi kukosa vi homa homa labda akiishaa anza dawa
wana hamu ya mapenzi kupitiliza lakini akiishaanza dawa ikamkubali
hawezi kumaliza wiki bila kuumwa kichwa.
Hata kamaa ameishaanza dawa hawezi kumaliza mwezi bila ka kikohozi kwa mbali
kama ni mwanamke dawa zikimkubali anapendeza kiasi kwamba kila apitapo lazima wanaume vikojoleo vyao viwasimame kama minara ya simu
hawapendi kupima afya na hawapendi kutumia kinga.etc etcccc
Kinga mwaka mzima..acha kudanganya watu wazima wenzako humu basi.Tunatumia kinga dats y simuamini
Hayo ndo mawazo yako sio reality so its up to u kuona ukweli au uongo maana watu kama nyie hamkosi na utambue kwamba kuwa katika mahusiano sio kufanya ngono kila siku kama unavodhani ndo mana labda unaona mwaka mwingiKinga mwaka mzima..acha kudanganya watu wazima wenzako humu basi.
Kinga inafanya delay ya ejoculation halaf mtu akuoigie nayo mwaka mzima....hahaa la kwanza la pili la tatu huwa inachomolewa na kutupwa pemben au hizo za kutupwa pemben huwa huhesabu?
[emoji2] [emoji2]Wale wanawake wanene wenye matako kama ya mchina
Yaani kiukweli sipendi kutumia mpira ndo maana namshawishi akapime ili tukiaminiana tuachane na mipira alaf namwambia sometimes nenda mwenyewe sio lazima uende na mm , na ye huwa anasema et anaogopa kunipoteza kama ikitokea anaoHuyo anachepuka sanaa ndio maana hivyo anaogopa ,wewe hata hauelewi kama unamuamini muombe simu yake ushinde nayo umuangalie ,,kuna jamaa wangu kupma hataki kusikia maana katembeaa na watu sehemu mbaya sana na anaenda kavu
Pia kama mtu wako mkiwa naye ni nan ambaye anamwambia mwenzake kutumiaa kondom ,,
Kama ni wewe unamlazimishaa ila yeye anapenda kwenda peku bhas jua na kwa wengne anaenda peku sana
Huyo sehemu alizopita anawasiwasi. ,na wewe mara ya mwisho umepima linYaani kiukweli sipendi kutumia mpira ndo maana namshawishi akapime ili tukiaminiana tuachane na mipira alaf namwambia sometimes nenda mwenyewe sio lazima uende na mm , na ye huwa anasema et anaogopa kunipoteza kama ikitokea anao
Hilo lipo wazi mkuu maana sijazaliwa nae aseeUkishajua anao utachukua hatua gani?